Maalim Seif akabidhiwa fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha ACT Wazalendo kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kakabidhiwa fomu hizo na Katibu Mkuu wa Chama...
Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa...
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za...
Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa...
Kamati maalumu ya CCM imemaliza mkutano wake huko Zanzibar kwa kupitia majina yote wanachama waliochukua fomu. Tayari majina matano yamepatikana ambayo yatawasilishwa kwenye Kamati Kuu ya CCM...
Leo tena yule nguli wa habari za vikatuni Kipanya ameibuka na Mgombea wa Urais kule visiwani.
Mimi simjui ni nani lkn wenye ujuzi wa kusoma picha basi tafadhali mtujuze.
Nitaikumbuka sana zenji...
CCM Watu wanaowaheshimu japo kuna muda wanawakosoa wameshayachoka sasa haya Majina ya sijui akina Mwinyi, Jumbe na Karume na badala yake wanataka Kuziona Sura mpya kama si ngeni ambazo nazo...
DKT HUSSEN MWINYI TUMAINI LINALOREJEA ZANZIBAR
Na, Deogratias Mutungi
Nianze makala haya kwa kusema Zanzibar na Wazanzibar kwa ujumla wake awamu hii wanaweza kupata kiongozi aliye bora zaidi na...
Urais Zanzibar 2020: Makundi yanavyohaha kuzuia mabadiliko!
1 July 2020
Oktoba mwaka huu wapiga kura wa Zanzibari tutamchagua Rais mpya, akiwa ni Rais wa nane tangu Mapinduzi Matukufu ya mwaka...
Wakuu baada ya Mwalim Seif kutangaza nia ya kuwania Urais Zanzibar, ni dhahiri shahiri Profesa Mbarawa atapita kwa kishindo kikubwa! Prof amezidi kuipaisha nyota yake katika utendaji wenye...
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.
Haijafahamika kama Tume imejituma...
WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto, Maudline Cyrus Castico amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amekuwa ni mgombea mwanamke wa...
Naamini mmemsikia Maalim leo hii ni "final count down," tunaelekea kwenye, ‘’all systems go!’’ Chombo kinapaa angani.
Kwa upande wa pili ambao hawajaweza miaka yote kushinda uchaguzi, maneno ya...
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Hamad ametangaza kugombea Urais Visiwani Zanzibar kupitia chama chake cha ACT-Wazalendo. Atachukua fomu ya kugombea urais Tarehe 4 mwezi Julai.
Amewaomba...
Kuna Mmoja ambaye ni Mwanamke akitokea Chama Cha Mapinduzi kaulizwa na Waandishi wa Habari ni kwanini nae kaamua Kujitosa katika Watu 31 waliochukua Fomu jibu alilolitoa ni kwamba Kajitokeza tu...
Muwakilishi wa Jimbo la Mtoni, Mh: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) nae amejitokeza kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombania Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Bhaa anafikisha idadi...
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho.
Said aliyechukua fomu katika ofisi za chama...
Mgombea Namba 31: Mgeni Hassan Juma amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar. Alikuwa ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi zanzibar.
Bi. Mgeni amekuwa ni mwanamke wa nne kuchukua fomu hiyo...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mussa Omar amejitosa kwenye mbio za Urais Zanzibar 2020 na kuchukua fomu kuomba ridhaa ya CCM. Khamis Mussa ndiye mshika funguo...
“ATAKAETUMIA RUSHWA KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI 2020 AMEJICHIMBIA KISIMA” BALOZI SEIF
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati Taifa linakaribia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.