Nilijua tu hakuna kitu pale tamasha la kuwaburudisha wananchi lilikuwa ovyo sana ukiangalia kwa makini waliohudhuria ni wachache sio matarajio ,kiasi ya kubadilisha mada na kuliita tamasha la...
Vyama vyote na wagombea wote wa Urais katika uchaguzi wa mwaka huu wanatoka bara. Nafasi tuliyopewa kwa upande wa Z'bar ni ‘mugombea mwenza’.
Je, ni kweli kwamba Wazanzibari hatustahili kushika...
Viongozi wa CCM Tanganyika walipomchagua Hassan Mwinyi ili aje kuwa Rais wa Zanzibar, miongoni mwa sifa waliziompa ni mtu mpole na mkimya. Lakini hebu tujiulize sisi Wazanzibari huu upole wake...
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu ataongoza mashambulizi kwa kugombea Ubunge jimbo la Kikwajuni.
Hadi sasa zaidi ya makamanda 34 wa CHADEMA wameshachukua fomu za kugombea Ubunge na...
Kwa maoni mujarabu kabisa ni bora Nd. Hussein Mwinyi akawaachia ugombezi wa Uraisi wa Zanzibar kwa maana ya kujitoa hii itakuwa fahari yake milele kwani kufanya hivyo ni kuiepusha Zanzibar na...
Kwa mujiu wa ITV, Jeshi la PolisI Zanzibar limefanya mazoezi ya kupambana na waandamanaji.
Hiyo inakuja siku chache baada ya Maalim Seif kuapa kuwa safari hii hakuna atakayekubali kuchakachuliwa...
Nimeshtushwa na idadi ya wabunge 75 kuwakilisha wakazi wasiofika million huko Zanzibar wakazi wanaozidiwa na mbunge mmoja tu Arusha,Temeke,Ubungo,Mbeya mjini, Kigoma mjini nk ikiwa ni sawa na...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hussein Mwinyi anagombea kwa tiketi ya CCM na amesema watafanya kampeni za kisayansi...
Vyama vya siasa vinatumia utaratibu gani kupata wagombea Zamzibar? Je, Ni kupitia kamati kuu za vyama au mabaraza au wana utaratibu wao huko Zanzibar?
Je, utaratibu wa wagombea wa Baraza la...
Kwa maandishi wamejibu hawakumuekea pingamizi mgombea yeyote yule wa ACT wazalendo,huo au hayo yaliyojiri ni mzigo wao tume ya Taifa ya uchaguzi na sio wagombea wa CCM.
Sasa ninaloliona ni CCM...
Maalim Seif Hamad amesema kuwa Rais Magufuli akizungumza na balozi mwaka huu alimhakikishia balozi kuwa kutakuwa na uchaguzi huru na haki na wazi lakini amesema kwa sasa wananchi wanachokishuhudia...
Leo kipenzi cha Wazanzibar Dkt. Hussein Mwinyi ameingia kwenye Historia mpya ya kwenda
kuwatumikia Wazanzibar wenzake kwa kuchukua fomu ndani ya Makao Makuu ya Tume ya Taifa
NEC.
Nawaambia...
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AFP) Said Soud Said akipokea amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea katika Uchaguzi Mkuu.
Said...
Dk. Hussein Mwinyi chaguo
sahihi kwa Wazanzibar
Na Hamis Shimye
ZANZIBAR na Wazanzibari kwa ujumla wake kwa awamu hii inaenda tena kupata kiongozi aliye bora zaidi na mwenye maono ya pekee...
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar
Wagombea wanatakiwa kurejesha...
Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti.
Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.