Kuna hoja kubwa ambayo imeivunja CCM miguu na mikono kiasi ya kuwa hawawezi kusimama wala kutembea.
Dkt. Hussein Mwinyi hana sifa za kugombea Urais Zanzibar na kama haitoshi walio ndani ya...
Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba...
CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT-Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT-Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la...
Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar...
Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC) kupitia Mgombea wake wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Queen Cuthbert Sendiga, kinapenda kukuletea taarifa ya muendelezo wa...
Lisu akiwa Zanzibar alitamka wazi kuwa haitaki muungano.
Sasa leo siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif hawajamtaja kabisa Tundu Lissu.
Sababu wao wanatafuta...
Ni hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu...
MTAZAMO TU
Kwa jinsi mambo yanavyoenda hadi muda huu inaonekana wazi CCM wamefeli plan zote A.B.C na extra plan D+E
Ukiangalia mikakati ovu ilopangwa kimantik inaonekana yote haipiti njia...
Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi...
DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR
Deogratias Mutungi
Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii...
Ungetegemea mjadala ukawa umejikita katika viashiria vinavyoweza kuiangamiza Zanzibar.
Mathalan kuna joto la nyuzi za juu linaingia visiwani, joto ambalo linaweza kuwasha moto na moto huo...
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo...
Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za Tundu Lissu akiwa Zanzibar, yaani unaona kabisa madini aliyokuwa anamwaga Tundu Lissu, laiti kama ile platform angekuwa yupo bega kwa bega ana mnadi Maalim...
TAARIAFA KWA UMMA
Ndugu waandishi wa Habari. Awali ya yote hatuna budi kumshukuru Mwenye ezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi kwa kutujaalia tukawa katika hali ya uzima wa Afya na muda huu...
AGREEMENT & CONTRACT
Ushawahi kukutana au kufanya kazi na mtu akakwambia ikitokea ukaharibu basi na mimi nimeharibikiwa na tutaangamia wote.
Uchunguzi wa jambo lolote ni sanaa na sayansi kama...
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa...
Mgombea wetu wa Kiti cha Urais Zanzibar, ndugu Maalim Seif Sharif Hamad amewasili Maruhubi katika Kituo cha Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar asubuhi ya leo kwa ajili ya kurejesha fomu. Pichani...
Mgombea wa Urais visiwani humo kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea
Maalim...
Nimetizama clip moja ya kamanda wa ngome ya vijana wa ACT wazalendo akidai kuwa upigaji kura wa mwaka huu ndio wa mwisho kwa wazanzibari, akimaanisha kuwa hawatakubali tena kuwapigia kura viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.