Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad (pichani), amesema wanawake ni jeshi kubwa linalotegemewa kushiriki katika uchaguzi mkuu na kuleta ushindi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kampeni zinazofanywa na mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Hussein Ali Mwinyi za...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Mkuu mstaafu Hamid Mahmoud amesema kura ya mapema haitawahusisha wapiganaji wote wa vyombo vya ulinzi ikiwemo majeshi na Polisi, kama...
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa...
Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye.
Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi...
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema akifanikiwa kuingia Ikulu atahakikisha watu wanaojishughulisha na biashara ya dawa za kulevya wanadhibitiwa ili...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema iwapo atachaguliwa atahakikisha anazifanyia kazi changamoto zinazowakabili wawekezaji wa sekta...
Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar.
Amesema ili...
Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira ya Serikali ya awamu ya 8 ni kukuza uchumi katika Nyanja zote ili kuwapa vizuri wafanyakazi...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake
Aidha amemsifu...
Fuatilia Kupitia Television na Redio mbalimbali pamoja na Mitandao ya Kijamii.
Nazungumzia yanafanyika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui.
Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tafadhali fuatilia...
Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda...
Chama cha ACT-Wazalendo leo kimezindua Ilani ya Uchaguzi ya visiwani Zanzibar ambapo Maalim Seif Sharif Hamad ambaye anagombea Urais ni Mgeni Rasmi
Akitoa muhtasari wa Ilani, Mwanasheria Mkuu wa...
Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21.
Wasifu wake ni huu hapa:
Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika...
“Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa...
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt Hussein Mwinyi amesema muungano uliopo kati ya Tanganyika na Zanzibar ndio unaleta amani na utulivu katika Taifa.
Amesema Muungano unaleta umoja wa...
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.
Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli...
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema nchi nyingi za Afrika zina mipaka waliyorithi kutoka kwa wakoloni
Mataifa mengi ya afrika yalitawaliwa hadi...
Leo tarehe 02/10/2020 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad akamilisha mkutano wake wa mwisho wa kampeni kwa awamu ya pili kisiwani Pemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.