Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi...
Ninewahi kusema uchaguzi wa mwaka huu si lele mama maana kila mtu anataka kuonyesha dunia nini maana ya haki na uhuru kwa wananchi wake.
"siku zote mimi nilikuwa nawazuia watu wasiingie...
Mgombea Urais Zanzibar Kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ally Mwinyi amesema Muungano unaunifaisha Zanzibar.
Amesema kutokana na uchache wa watu wa Zanzibar uzalishaji wa bidhaa zao hutegemea soko...
Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) wametakiwa kulitangaza vizuri jina la Zanzibar kimataifa na wawe tayari kushirikiana na serikali kwa ajili ya kuleta mabadiliko makubwa ya maendeleo...
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha AAFP, Said Soud Said amesema akipata madaraka ya kuiongoza Zanzibar atahakikisha vijana wanaoa na mahari itatolewa na serikali.
Amesema hatua...
Nawasalimu wana JF,
Nimekuwa mfatiliaji wa karibu sana wa siasa za upande wa Tanzania Visiwani kwa maana ya Zanzibar, nimegundua falsafa na maono makubwa ya Dkt. Hussein Mwinyi juu ya mipango...
#USAFIRI WA ANGA.
CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza...
KILICHOTOKEA MICHEWENI, ZANZIBAR
Watu walikuwa na mkutano wa Jimbo la Micheweni wamemaliza saa 12 watu wakaanza kurudi majumbani.
Kuna wanachama wa ACT, Shumba Mjini wakapita katika kijiji cha...
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini...
Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu...
Kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2020-2025), CCM itaielekeza SMZ kufanya mambo yafuatayo kwa ajili ya UMEME na NISHATI mbadala Zanzibar;
1. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka...
Leo Dkt. Hussin Mwinyi anaendelea na kampeni ya kuwania Urais Zanzibar eneo la Micheweni kuiongoza serikali ya awamu ya nane na miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia, amesisitiza kulinda amani ya...
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari, Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban ameeleza kuwa chama chao hakijaridhishwa na majibu yaliyotolewa na ZEC kufuatia barua...
Bila kuandika mengi, CCM watakipata wanachokitafuta Zanzibar. Wamesahau jukumu la Waislam katika kuitetea haki kama wanavyoamriwa na dini.
Wamesahau dini inasemaje kuhusu yule anayejitoa mhanga...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHA UMMA) ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa chama hicho Ali Omar Juma, amewataka wanachama wa chama hicho kumpigia kura ya ndio Maalim Seif Sharif Hamad...
CHAMA Cha United Democratic Party (UDP), kimesema kuwa hakitakuwa na mikutano ya hadhara ya kampeni na badala yake watapita nyumba kwa nyumba kuwasilisha sera zao.
Hatua hiyo wamesema wanaifanya...
Salaam kutoka Zenji ,kuna uhakika kutoka kila pembe kuwa sasa ni rasmi CCM imeshazikwa Zanzibar,hilo halina mjadala ,jukwaa la CCM Zanzibar CCM huchawanyika na kumuwacha/chia baba na mwana kwenye...
Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na...
Na; Makame Ali Makame
11/10/2020
Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi amebainisha mara kadhaa dhamira yake ya kulinda na kuheshimu Katiba yetu kama Mkataba maalum baina yake na wananchi wote...
Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.