Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata.
Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka...
“Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu.
"Kama ilivyosahihi kwa...
Mgombea urais wa Zanzibar kutia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameendelea na kampeni zake katika kisiwa cha Pemba kwa ajili ya kuomba kura ili kupata nafasi ya kuongoza...
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake...
Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera...
Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....
1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na...
HOJA ZA DK HUSSEIN MWINYI ZINATOSHA KUMPA NCHI OKTOBA, 28
Dkt. Hussein Mwinyi mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar anastahili kuchaguliwa kwa kura za ndio nyingi na kupewa nchi ili awaongoze...
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.
Hapo mnatoa dalili...
Mgombea Urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir(Demokrasia, makini): Katika barua yetu ya tarehe 15 kumuomba msajili wa vyama vya siasa pamoja na IGP, tulimuelezea kwamba, kuna baadhi ya viongozi wa...
1. Elimu bure
2. Afya bure
3. Ajira mpya zaidi ya 300,000
4. Uchumi wa bluu kuimarisha sekta ya utalii, uvuvi, mafuta na gesi.
5. Viwanda vipya kujengwa
6. Barabara za lami kilomita 198 kujengwa...
Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha...
Na MWANDISHI WETU, PEMBA
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amekamilisha awamu ya kwanza ya ziara yake ya mikutano ya kampeni katika majimbo ya Visiwa vya...
Na MWANDISHI WETU, PEMBA
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amekamilisha awamu ya kwanza ya ziara yake ya mikutano ya kampeni katika majimbo ya Visiwa vya...
Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar.
CUF: KUNA...
TAKWIMU HAZIDANGANYI
Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa...
Heka heka za kampeni zinazidi kushika kasi na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anazidi kuchanja mbuga kujinadi na kuelezea atawafanyia nini...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza, atahakikisha wakulima wa viungo na karafuu wanakuwa huru kuuza mazao...
Naam hiki ni kipindi mujarabu sana.
Kampeni zinaendelea kwa kasi kote Bara na Zanzibar.
Leo Tunamwita Dkt. Mwinyi ama timu yake aje hapa ama waje uwanjani.
Tunahitaji tujibiwe baadhi ya...
MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha ACT- Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, amesema endapo wananchi wa Zanzibar watamchaguwa na kumuweka madarakani, atahakikisha wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.