Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo...
8 Reactions
52 Replies
8K Views
Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi Novemba 2, 2020 ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
19 Reactions
153 Replies
14K Views
Niwatakieni salamu nyingi siku ya leo. Moja kwa moja kwenye mada. Kuanzia siku ya jana kumekuwepo na video na picha za majeruhi na waliofariki wenye majeraha yanayodhaniwa ni ya risasi na kwa...
12 Reactions
64 Replies
8K Views
Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
18 Reactions
239 Replies
36K Views
Askari zaidi ya 20, wakiwa ndani ya magari yao asubuhi ya leo wanafyatua mabomu ya machozi kwa kila kundi la watu wanalokutana nalo. Katika eneo la Darajani, askari hao bila kuwepo kwa viashiria...
5 Reactions
101 Replies
14K Views
Salaam wakuu, Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi. Je, wamejuaje atashinda? Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakizungumza leo asubuhi, Wafanyabiashara wachache waliokutwa katika maeneo yao ya biashara, bila kufungua maduka ama vitalu (vibanza) vyao ndani ya soko kuu la Zanzibar, Marikiti, wafanyabiashara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. ORODHA RASMI YA WAGOMBEA...
8 Reactions
24 Replies
7K Views
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na Kikosi cha Polisi. Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza...
51 Reactions
196 Replies
26K Views
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9) Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja...
21 Reactions
265 Replies
36K Views
Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
19 Reactions
338 Replies
36K Views
Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29. Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati...
14 Reactions
43 Replies
5K Views
Mpanga mikakati ya ushindi wa chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, anayedaiwa kutekwa leo asubuhi Visiwani Wete, Pemba, amefikishwa kituo cha Polisi cha mji huo. Inaelezwa kuwa Hamad...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wazanzibari leo wanapiga kura ya mapema ambapo makundi maalum wakiwemo Watumishi wa Tume ya Uchaguzi (ZEC) na Wasimamizi wa Uchaguzi watashiriki katika zoezi hilo. Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid...
4 Reactions
98 Replies
10K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma ======= Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi...
10 Reactions
289 Replies
26K Views
https://imevuja.xyz/just-in-upigaji-kura-waanza-usiku-huu-zanzibar/ Na pia https://imevuja.xyz/maalim-seif-kuwekwa-chini-ya-uangalizi-maalum/ Kama ni za kweli, basi Zanzibar pameshakuwa pagumu...
15 Reactions
157 Replies
17K Views
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, atapiga kura siku ya kwanza Jumanne tarehe 27 Oktoba badala ya siku ya uchaguzi Oktoba 2020. Maalim Seif amesema...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom