"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo...
A day before casting their votes to decide who is their president, members of parliament and other lower representatives in Zanzibar, people were today rushing for shopping in the city.
A day...
Kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, Mgombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema watasimama kwa pamoja kulinda ushindi wao
Amesema, " Sisi viongozi wa...
Kutoka kwa mkoloni wetu.
=======
Zanzibar is best known by holidaymakers for its sandy white beaches and winding medieval passageways.
But where once there were tourists, tanks and soldiers now...
KALAMU ISEMAYO MANENO YA ALLY SALEH ALBERTO WA ZANZIBAR BARUA YA WAZI
Rais Magufuli una saa 72 kuokoa hali Zanzibar
Assalam aleikum,
Pole na kampeni ambayo najua kuwa imekuwa ngumu na ya...
Mgombea wa Urais Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa dhamira yake ya kuwatumikia Wazanzibari iko imara tofauti na wakati mwingine huku akieleza kuwa kampeni za Urais zimemuwezesha kujua...
Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera.
Aidha leo...
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi...
Tokea jana wanannchi wenye uzalendo na nchi yao ya Zanzibar wameanza kumiminika kutokea kila pembe ya nchi hio,huku wakisika wakisema Zanzibar ya ukweli na uwazi imefika na karibu Tanganyika yenye...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu.
Maalim Seif...
Dkt. Hussein Mwinyi yupo LIVE anajibu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi.
Barabara na uchumi mkubwa
Amesema Swala la barabara Unguja na Pemba ni swala muhimu na pia wanapozungumzia...
Wapwa
Dr Mwinyi amewataka Wazanzibari wajitokeze kwa wingi kumpigia kura za ndio tarehe 27 October, ikumbukwe Mgombea wa ACT Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wajitokeze tarehe hiyo hiyo 27...
Mgombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema katika uongozi wa serikali watajali makundi maalum ambayo ni wanawake, watoto, wazee, walemavu na walioathirika na...
Salaam Wakuu,
Huku Zanzibar mambo si Mambo. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC, ilipanga kupiga kura siku mbili yaani kundi Maalum litapiga kura tarehe 27, na Wengine tarehe 28.
Wananchi wa...
Mgombea Urais wa Tanzania anayeelekea kushinda Tundu Lissu leo atatikisa visiwa vya Pemba.
Pemba ngome Kuu ya ACT wanatarajiwa kumlaki kwa kishindo mgombea huyo wa Urais ambaye chama chake na ACT...
Amesema hayo wakati akihojiwa na BBC Swahili amesema "Mimi Ni muumini kabisa wa Muungano ila uwe wa haki"
======
Akizungumza na BBC idhaa ya Kiswahili, Mgombea wa Urais visiwani Zanzibar Maalim...
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema atakubali matokeo ya uchaguzi hata kama atashindwa ikiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
Maalim...
Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani.
Tume ya Utangazaji...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewasilisha malalamiko kwenye Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupinga kushambuliwa wafuasi wake walipokuwa kwenye mikutano ya kampeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.