Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza.
Zipo...
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na...
Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza...
Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27%
Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais...
Historia ya siasa za Zanzibar haiwezi kuandikwa ikakamilika bila kulitaja jina la Seif Sharif Hamad. Maalim ni mtu mmoja mwenye sehemu kubwa katika historia hiyo na kamwe hapuuziki.
Maalim...
Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima.
"Na mimi nawambieni...
Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye...
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema uchaguzi mdogo wa nafasi ya uwakilishi jimbo la Pandani mkoa wa kaskazini Pemba utafanyika mwakani, Machi 28.
Taarifa ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar...
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.
Maalim Seif amesisitiza kuwa...
Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi...
Naomba nichangie kidogo kwa hatua iliyofikiwa leo kwa Maalim Seif kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kwanza niseme mimi ni muumini wa maridhiano na ninaunga mkono "dhana" ya maridhiano...
Wakuu nmesikiliza hotuba ya Maalim Seif baada ya kuapishwa, nikiri tu kwamba huyu mzee ana busara sana. Seif anajua kwamba Zanzibar ni zaidi ya ACT Wazalendo na CCM,.
Na kwa hotuba hii kama...
Sasa ni rasmi Zanzibar imepata Makamu wa kwanza wa Rais. Hii imetokea siku ya leo tarehe 7/12/2020 baada ya Maalim Seif wa chama cha ACT Wazalendo kula kiapo.
Hii ni mara ya pili kwa Maalim Seif...
Mengi yamesemwa kuhusu nia ya Profesa Makame Mbarawa kugombea Urais Zanzibar 2020. Wapo waloandika makala zenye uwiano bora, wapo walomponda na kusema hana nafasi lakini pia wapo walomsifia...
Wanabodi,
Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana...
Mabibi na mabwana pana taarifa za upepo mwema kuanza kuvuma kule pande za Zanzibar.
Tulikotoka, tulikopita na tulipo kote kunafahamika. Kwamba uchaguzi ule ulikuwa na mzengwe usiofaa kurejewa...
Kwako ndugu Zitto
Kwako ndugu Maalim
Wazanzibari wameona!
Afrika imeona!
Dunia Imeona!
Dhulma ya kutisha waliyofanyiwa Wazanzibari, torture, mauaji, uporaji wa dhahiri haki ya wazanzibari...
HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza -...
Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.