Mapokezi yalianzia Uwanja wa Ndege wa Karume, mkoa wa Kusini Pemba na kupita barabara kuu kuelekea viwanja vya Tibirinzi akiwa katika gari la wazi, akisindikizwa na umati wa watu wenye sare za CCM...
Wadau, hili ndio swali tunalopaswa kujiuliza kwa kuzingatia yaliyotokea mwaka 2015 ambapo matokeo ya uchaguzi yalifutwa na Bwana Jecha ambae ndio alikuwa kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar...
Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama
HOJA
1. Msimamo wa wazi wa hatma ya Zanzibar yenye mamlaka kamili au muungano wa usawa
2. Kudumisha umoja wa kitaifa na kuilinda serikali ya...
Leo kuna mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na Mgombea Urais wa Zanzibar, Ndugu, Maalim Seif Sharif Hamad. Wameambatana pia na Mgombea Mwenza wa...
Katika mkutano wa mapokezi ya wagombea urais kwa tiketi ya ACT, mheshimiwa Membe alipewa dakika chache tu za kuwasalimia wazanzibari, katika dakika hizo Membe aliongea mambo mawili ambayo...
Hongera sana kwa kuutangazia Umma wa Tanzania kuwa hutaki ushindi wa kura za wezi au wizi, ni sawa kwa kuanza kuwatahadharisha wanaopanga kukuharibia pepo yako, ama hapo umetoa kauli nzuri ambayo...
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar...
MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CUF CHAMA CHA WANANCHI UMEMPITISHA MUSSA HAJI KOMBO KUWA MGOMBEA WA URAIS ZANZIBAR KWA TIKETI YA CUF
Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Wananchi (CUF) umempitisha Mussa...
Mwenyekiti wa ZEC jaji mstaafu Mahmoud ametangaza uchaguzi wa Zanzibar wa Rais, wawakilishi na madiwani kufanyika tarehe 27 na 28 Oktoba,2020.
Tarehe 27 Oktoba ni maalumu kwa watendaji wa tume...
Baada ya kugombea urais na kufanikiwa kuingia Tatu bora, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la KIKWAJUNI kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tunaendelea kuwapeni habari zetu za tathmini. Bado timu iko visiwani ikitupatia tathmini mbali mbali za kisiasa na kijamii.
Huko visiwani kuna kijungu chapagwa.
Picha halisi ilioyoko huko ni...
Zoezi za kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limeendelea ambapo Mzanzibar mwingine Mbwana Yahya Mwinyi amefika katika ofisi...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo.
CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho...
Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma Mhe. Mbarouk amepitishwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ziwani kuwa mgombea Ubunge
Kuna Mzee Mmoja ( Jina Kapuni ) japo alishawahi Kuniongoza Kikatiba huko nyuma taratibu sasa naanza kuona jinsi ambavyo huenda Ugonjwa wa Moyo utakavyoanza Kumuathiri na pengine hata Israeli...
Members, kwa jicho la tatu na hotuba ya mheshimiwa Rais Magufuli kwenye mkutano mkuu wa CCM 2020, Hotuba yake ya kutoka kichwani ina mambo mengi sana.
Kuna usemi usemao limjaalo mtu ndio...
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi...
Wafuatiliaji wetu walioko Zanzibar wametuletea tathmini hii fupi mara baada ya NEC ya CCM kumteua Dkt Hussein Mwinyi.
Kwanza baadhi ya wana CCM wamenuna wakilalamika kwamba wazanzibari hawana...
Mwenyekiti wa Chama cha ADC ambaye pia ni Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho.
Kamati kuu ya CCM inaketi leo kupitia majina matano ya wagombea urais wa Zanzibar na hatimaye kupitisha majina matatu yatakayokwenda kupigiwa kura.
Up dates;
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.