Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hii habari nimemegewa na mwana “Kamati Ushindi” ya Mwangunga. Naishia hapa kwanza ili wabishi waje.
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Haiwezekani tukawa hivi, wote tukawa hiv, yaan nchi nzima tukawa hivi! kwa nini tuko hivi lakini? nchi nzima tumekuwa tukilalamika,tunaona maovu yanafanywa na viongozi wa juu, kila kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa ahojiwa na TAKUKURU Na Jabir Idrissa, MwanaHALISI, Jumatano, Agosti 5-11, 2009. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Leon Simbakalia amekiri kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ministry in dubious exam deal THE Ministry of Education and Vocational Training last year awarded a private company a 72.6m/- deal to print primary school leaving certificates contrary to a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nawaza tu:(yote ni original) 1. Mwanasiasa akianguka wakati wa uchaguzi ni vizuri kumuinua? 2: Je fisadi ambaye ameamua kuokoka anaitwa Fisadi Mlokole? 3: Kwanini unafikiri inaitwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amesema hakuna Mtanzania anayemchukia Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, ila malalamiko yao dhidi yake ni kutaka kujua ukweli...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nawaomba watanzania wenzangu tuondokane na dhana kwamba rais ni kama Mungu kwa hiyo hasogelewi wala haguswi kwa maana ya kukemewa. Woga huu ndiyo uliotufikisha hapa tulipo na mambo kuharibika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KIONGOZI wa Upinzani bungeni Hamad Rashid Mohamed, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kujiuzulu kutokana na kile alichosema ni serikali yake kushindwa kufanya kazi hivyo kukosa imani kwa wabunge wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
"Abiria watarajiwa wakiangalia ratiba ya treni ya reli ya kati leo ambapo baada ya treni la bara kuingia, la kutoka dar kwenda mwisho wa reli halikuondoka na badala yake wameahidiwa litaondoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*ALIKUWA AKIONGOZA MSAKO WA MAJAMBAZI Daniel Mjema, Moshi na Rehema Matowo, Hai MKUU wa Polisi Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro (OCD), Mrakibu Petro Mtae (43), amefariki dunia baada ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watu wasiofahamika huko Zanzibar, wameanza kuzuia wanachama wa CUF kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, Watu hao wanapita kwenye maeneo ambayo ni ngome za CUF na kutangaza kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Date::7/25/2009 Dk Hoseah aonywa, Karamagi, Msabaha bado wachunguzwa Na Kizitto Noya, Dodoma Mwananchi SERIKALI imempa onyo Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh naona sasa hii imani imetushinda jamani...iweje kila siku baadhi ya wafanyakazi na ni wale wale ndio wanaoenda kwenye semina ....hasa za mikoani....kwani hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CUF, CHADEMA kipi kitatufaa? WATANZANIA wenzangu, kama nilivyofafanua wiki mbili zilizopita, kwa kigezo cha kwanza, cha haiba na imani ya wananchi (walio wengi), Chama cha Wananchi (CUF)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je, Dr Mwakyembe angetoa ripoti kamili kuhusu mkataba wa Richmond yanayotokea leo hapa nchini yangekua
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Amani Karume amefanya uteuzi wa Jaji Mkuu bila ya kushauriana na Tume ya Utumishi ya Mahakama imebainika. Taarifa za uhakika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taasisi ya kuzuia rushwa malawi ACB imekamata mali za aliekuwa RAIS WA MALAWI BAKILI MULUZI....kama dhamana katika kesi ya rushwa inayomkabili....hatua hiyo imechukuliwa wakati bado inaendelea na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Diwani anayetuhumiwa kwa mauaji ateuliwa Source Majira: Monday, 03 August 2009 Na Suleiman Abeid, Kahama DIWANI wa Kata ya Malunga (CCM) wilayani Kahama mkoani Shinyanga Bw.Jumanne...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Polisi muimarishe yafuatayo ili kudhibiti uhalifu Nchini:- 1. Muimarishe Polisi Jamii na muwaimarishe kimbinu na kizana. 2. Polisi muwe wasiri kwa taarifa mnazopata kutoka kwa raia wema. 3. Muweke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…