'CUF MSIDANDIE LIFT YA BURE'
Mkuu wa nanihiiNinaomba nitoe maoni yangu kwa Umma wa Watanzania kuhusu hili sakata la Bunge na Utawala(serikali).
Nimesoma kwenye vyombo vya habari vya Kibongo...
Knowing what we know about arms trafficking to the conflict zones of Great Lakes region of Africa and based on the reality that most of the wars there revolve around the fight for the control of...
Daniel Mjema, Moshi
MADIWANI watatu wa Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, wametoa kali ya mwaka baada ya kuchapana makonde wakigombea kuingia kwenye kamati ya mipango...
Tarehe 28/07/2009 ilikuwa ni siku ya pekee Tarime kwani kulikuwa na maadhimisho ya mwaka mmoja tangu apate ajali na kufariki Mbunge na Mwanaharakati mpigania haki za wanyone Mh. Chacha Zakayo...
Mpoki Bukuku, Pemba na Salim Said
CHAMA cha wananchi (CUF) kimedai vitambulisho vya ukaazi vinatolewa kwa vijana wa bara ili waweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwakani.
Akizungumza...
Jamani huu wizi sasa unatufikisha pabaya.Yanii hamana Huruma , huu ni umafya pase:
source: http://www.guardian.co.uk/business/2009/aug/02/tanzania
Millions of dollars worth of life-saving...
Leo nimepata habari za kusikitisha. Kuna shemeji yangu, anasomea Masters yake huko UDSM, zahama anazozikabili, kwa kweli, kama angekuwa mtu mwenye "munkari" wala asingemaliza masomo yake...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani Kagera, imemhukumu Meneja wa Shirika la Posta tawi la Biharamulo mkoani Kagera, Claud Masali (52), kifungo cha miaka 250 baada ya kupatikana na makosa 50.
Hukumu...
Jana wakati nafuatilia tukio zima la ujambazi katika Bank ya NMB tawi la Temeke {katika Luninga ITV nikiwa Bar} Kuna kauli za baadhi ya viongozi na watendaji wetu ziliamsha manung'uniko kwa...
Badala ya kijenga barabara ili ziweze kupitika, Wananunua magari makubwa (heavy duty vehicles) ili kuwawezesha kupita katika barabara hizo mbovu. Bila kuangalia kuwa kuhudumia magari hayo ni...
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee, amewatoa 'knock out' Makamba na Londa, ambao walilazimika kuondoa malalamiko yao kwa Spika wa Bunge dhidi yake Mbunge huyo kutokana na kauli yake (Mdee)...
Jamani hii imekaaje?
Jamani Viongozi wa Ikilu imefikia wakati wa kumsaidia Rais kumshauri kwa mambo yanayotokea ya ufisadi badala ya kuendelea na propaganda na hekaya za Abunwas na kumpaka mafuta...
Bunge letu kama taasisi limetangaza nafasi za kazi mbali mbali hivi karibuni.
Kilichotokea nafasi hizo zilikuwa na watu maalum wameandaliwa. Moja ya masharti kama kuwa HANSARD REPOTER lazima uwe...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limemkana askari wake, koplo Julius Abraham Kwayu, ambaye alidaiwa kuhusika katika tukio la ujambazi lililotokea Julai 24 mwaka huu, Manzese jijini...
Inapata mwaka na nusu sasa toka taasisi isiyo ya kiserikali iliyokuwa inatowa huduma kwa jamii ife kabisa , inasemekana hosea, hausika kwa tuuma za kufirisi taasis hiyo kwa vile uchukua muda...
Nadhani watz hakuna budi kukuvali mapema kwamba mh kikwete ataibuka na ushindi wa sunami 2010 baada ya kuonekana mtendaji mzuri hasa huu uhuru aliotuachia.lkn swala la wabunge kijinafasi bungeni...
Designer colonialism of sorts
Adam Lusekelo, 30th July 2009 @ 00:22,
OF course, ours is a free country. Got our independence from the Her Majestys Service men in 1961. Nice going it has been...
I have taken Prime Minister Pinda's "opinion" on a single government of Tanzania with keen interest. I am of the opinion that that was the idea that our founding fathers, Nyerere and Karume had in...
Tunajua ukitaka kuua nyoka piga kichwa.
Kwa nini Jakaya ambae ndie kiini cha kila kitu na mtatuzi tegemewa wa matatizo ya watanzania huwa yuko so protected, watu wanaogopa kumdiscuss?
Hivi...