Asubuhi hii mjini Dodoma, Mkulo amekutana na waandishi wa habari na kutokana na yale aliyoyaeleza kuna uwezekano mdogo wa waliopanda Deci kulipwa fedha zai zote. Kwa mujibu wa maelezo ya Mkulo...
Twelve political parties operating in Zanzibar yesterday revived their alliance vowing to win the next Zanzibar general elections by strengthening the partnership including placing one candidate...
HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI NA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI
MHESHIMIWA HAMAD RASHID MOHAMED (MB) WIZARA YA FEDHA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2008/2009...
Wanajamvi,
Heshima mbele. Naomba niulize na ninaomba majibu maridhawa ili mimi na watanzania wengine tujifunze kupitia JF. Swali langu ni "nini hasa maana ya rais kuhutumia/kuongea na wazee wa...
wana jf nimeamua kupost hili jambo baada ya kuona mpiganaji anataka kua soko la mkonge kwa kulinda biashara ya mpiganaji mwenzie.
"Mh kimaro amemuuliza swali PM Pinda kuwa serekali imelazimisha...
By John Blake
CNN
(CNN) -- At first, the children's eyes light up with anticipation.
Christmas comes early. Tanzanian students celebrate receiving Books for Africa textbooks.
Then...
Tupande mbegu za uzalendo
Na Padri Privatus Karugendo
Mnamo mwaka 1976, Kule Soweto, Afrika ya kusini, maelfu ya watoto weusi wa shule waliingia mitaani na kufanya maandamano ya zaidi ya nusu...
Pinda katangaza hivi punde mjini Dodoma kuwa baada ya kelele nyingi za wananchi, viongozi wa dini na wabunge, serikali imeamua kugeuza uamuzi wake wa kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini...
Kushughulikia mafisadi ni kazi ngumu - Pinda
2008-04-10 10:35:14
Na Joseph Mwendapole na John Ngunge, Dodoma
Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, amesema kuwashughulikia mafisadi ni kazi...
Sharon Sauwa
Jumla ya shilingi bilioni 67 zinatarajiwa kutumika katika kufanikisha maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwakani kwa ajili ya kuwapata madiwani, wabunge na rais...
Mwinyi Sadallah
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatarajia kutumia Sh. bilioni 412.6 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2009/2010.
Akitangaza mwelekeo wa bajeti, Waziri wa Nchi...
Jamani nasikitika kwa kusema nchi yetu haina uongozi coz umejaa rushwa na ubinafsi, Kwa nini nasema hivyo:
1. Hivi uliona nchi gani shirika limebinafishwa lakini linapewa pesa na serikali, Mfano...
2009-06-17 08:18:00
MP protests Sh35bn for top officials' trip
By Damas Kanyabwoya, Dodoma
THE CITIZEN
An MP yesterday challenged the allocation of a whopping Sh34.6 billion in the...
Waziri wa fedha ameshindwa kuyafutia makampuni ya mafuta ushuru kwa kigezo cha kwamba mkataba unawabana, lakini nionavyo mimi ni kulinda maslahi yao, kwani kiukweli wao ndio wamiliki wa hayo...
Wana JK
Hotuba za Waheshiwa Raisi wa JMK na mawaziri wa fedha na kilimo walizozitoa hivi karibuni bungeni zinaonyesha kuwa serikali ina mpango wa kukitilia mkazo kilimo, TENA. Hili ni jambo...
Jamani wana JF mimi hili linaniumiza kichwa kila siku hivi kweli ni nini kinashindikana kwa serikali kuamua kuyauza magari yote ambayo yanaliingiza hasara taifa na kubakiza gari moja kila idara la...
Mapinduzi yana sura mbili:ama kutumia majeshi au kuunda serikali mbadala).
Je Tanzania tunahitaji ipi kati ya aina hizo.
LABDA NIDOKEZE MAHITAJIO YA KUFANIKISHA AINA YOYOTE YA MAPINDUZI...