2009-05-04 11:51:00
Businesses: Tax end-of-term gratuity
By Samuel Kamndaya
THE CITIZEN
The gratuity that MPs receive at the end of their terms should be taxed, it has been...
Wazee wa Yanga waliongea na vyombo vya habari jana na kumshambulia Mengi kuwa aache kumkashifu mfadhili wao bwana Yusuph Manji. Walisema mambo mengi sana ila kubwa ni kuwa Mengi aachane na Manji...
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake
Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari ‘Reginald Mengi...
Rostam kukutana na waandishi wa habari
Kuna habari kwamba kesho (Jumapili) saa 5 mchana Rostam Aziz atakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Kempinski.
Kwa namna fulani tunaamini kuwa sisi tuna upendeleo wa aina fulani kwa Mwenyezi Mungu, kwamba nchi yetu kwa sababu upendeleo wa pekee basi haitapata majanga. Hatujajifunza kwa ajali zinazotea mara...
Hatimaye baada ya Polisi Mkoa wa Iringa kukataa kuruhusu maandamano ya Dr Slaa toka jana. Muda mfupi uliopita wameruhusu maandamano hayo yafanyike kesho jumamosi Mei 2, 2009 kuanzia saa 3 asubuhi...
Baada ya serikali ya CCM kuwalea na kuwadekeza wezi wa mali zetu; baada ya serikali hiyo kuremburiana macho na mafisadi kwa miongo kadhaa sasa; baada ya kuonesha woga na kutokujiamini mbele ya...
Siri Zifichuliwe Tubadili Katiba Tulinde Muungano
Na John Mnyika
Wakati serikali ikiwa imeandaa maadhimisho ya miaka 45 ya Muungano katika uwanja wa Taifa, vijana kwa upande wao kupitia...
Jamani, hivi kwanini watz wengine hawaonekani kuwapinga mafisadi? nikianza na Game theory aliyeko humu ndani, nakuja kwa sophia simba yule anayejifanya kusali makanisa ya kilokole kumbe...
Naomba kuuliza swali,kwanini mabalozi wa Tanzania walio wengi ,katika nchi za waarabu au zenye asili ya kiarabu,ndani na nje ya Africa ni waislamu tuu?
Nawasilisha.
Kunawale wanaoendelea kutafuta sababu ya janga la mlipuko ambalo ni jambo la msingi kabisa. Lakini hali halisi ni kwamba kunawatu ambao wameathirika na mlipuko huo, ambao hawatakuwa na mahala pa...
Dk. Slaa awindwa bungeni
Waziri Kombani, Ghasia waongoza mkakati
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENENDO wa mambo katika mkutano wa 15 wa Bunge, unaoendelea mjini...
Mengi reveals state 'secrets'
Adam Lusekelo, 28th April 2009
The nation's collective jaw dropped in amazement last Wednesday when IPP boss, Reggie Mengi called a press conference and...
Pinda: Serikali imepwaya
na Rahel Chizoza, Dodoma
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa, serikali ya awamu ya nne inapaswa kufanya kazi kwa bidii hivi sasa ili...
Rais wa Zanzibar, Amani Karume hajahudhuria kwenye sherehe za Muungano katika uwanja wa Uhuru. Sababu kubwa iliyoelezwa ni kuwa hali mbaya ya hewa imesababisha ashindwe kutoka Zanzibar kwa ndege...
Pamoja na mambo yote hayo tunayoyaongelea kuhusu siasa na maisha kwa ujumla hapa tanzania je kuna uwezekano wa kuja kuwa na maendeleo kama nchi za ulaya au ndio basi tena mpk mwisho wa dunia? je...
SOURCE: Sunday Observer
2009-04-26 13:18:37
By Adam Ihucha, Lake Manyara
Manyara-born conservationist David Maige, plus members of his family, had a nasty experience recently, which...
Habari hii hapa chini haina tofauti na kuomba msaada wa kufukuza mwizi, na ukipewa msaada huo unalalamika kwanini unamfukuza huyo mwizi.
Iwapo serikali iliomba wananchi kutoa ushirikiano kufichua...