Na Ndimara Tegambwage
MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele
NI vilio vitupu. Baadhi ya wananchi wenye mifugo Wamasai, Wairaqw, Wabarbaig na Wasukuma wanawindwa kama swala. Wanaambiwa...
Ni kuendelea na mambo yale yale ya serikali ya Mkapa. Kutokuanza upya kuelekea ujenzi mpya wa taifa la kisasa. Ni kutokukata ile kamba inayomuunganisha yeye na Mkapa na hivyo kuendelea na mtindo...
Wakazi wa Kigamboni, jijini Dar es Salaam, wameshutumu serikali kwa kusema mpango wa kuwahamisha ili kupisha wawekezaji kutoka nje ni "wizi mtupu."
Wamedai kuwa mradi wa Kigamboni ni wa kupatia...
Waziri wa Elimu au Afya hatakuwa na uchungu wa kubadili hali ya shule au hospitali wakati hana mtoto wake anayesoma au kupata matibabu sehemu hizo, viongozi tuache unafiki
Wenzangu inakuwaje hawa viongozi wanatuhamasisha namana ya kuwa na bora maisha, lakini hawatuelezi namna walivyopata utajiri waliokuwa nao ili tupitie njia hizo tuwe kama wao?
Ole Sendeka aongezewa mashitaka
Monday, 20 April 2009 16:49
Na Glory Mhiliwa, Arusha
KESI inayomkabili Mbunge wa Simanjiro (CCM), Bw. Christopher Ole Sendeka ambaye anashitakiwa kwa...
Tanzania: School offers free meals, exam results soar
Source: United Nations World Food Programme (WFP)
Date: 20 Apr 2009
Almost all the students at the Enguike primary school in Tanzania...
SAKATA la halmashauri ya Karatu, kugomea kulipia malazi ya Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na ujumbe wake limechukuwa sura mpya baada ya aliyekuwa kaimu mkurugenzi wakati wa ziara hiyo, Majid...
Vigogo Deci wasota polisi, Mtikila awatetea
Na Waandishi Wetu
SAKATA la Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci), sasa liko rasmi mikononi mwa vyombo vya dola...
Mwanamke ambaye ni mwanachama wa CCM ameongaza kura za maoni za kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha ubunge cha jimbo la Busanda
Mwanachama aliyeongoza kura za maoni za chama hicho ni...
....atutangazie Watanzania kwamba Sakata la Mkapa kujiuzia Kiwira litaanikwa hadharani hapo February 18, 2009.
Ngeleja kufichua siri ya Kiwira
na Kulwa Karedia
Tanzania Daima~Sauti ya watu...
Hatimaye yule kigogo wa shirika kubwa la Bima hapa nchini Mama Margreth Ikongo ameachia ngazi na kuhamishiwa wizara ya fedha kitengo cha masuala ya Bima.
Kama mnakumbuka gazeti la Mwanahalisi la...
Dream team
Mark Schultz, Staff Writer
It is a project so big that four firms have joined to make it happen.
On Tuesday, the Smithsonian announced its National Museum of African American...
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mh JK anatarajiwa kubadilisha wakurugenzi wa mashirika ya umma muda si mrefu kuanzia wiki ijayo na hasa wale anaowahisi awako nae pamoja....habari zaidi...
Half of Norwegian aid funds misused - report
2009-04-16 16:20:51
By Guardian Reporter
A total of US$30 million (over 36bn/-) given to Tanzania as aid by the Norwegian government in the past 12...
Wana ndugu naomba msaada kwenye tuta kidogo;hivi karibuni kumezuka kampuni zinaitwa praidi;deci na nyinginezo hatimae serikali wakaamua kuuiita DECI upatu ambao hautakiwi;kidogo inanichanganya...
Jeshi la polisi mkoani Kigoma wilayani Kibondo limewakomesha wachama wa upinzani waliokuwa wakileta vurugu kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa marudio katika kata ya Kitahana. Hatua hiyo ya polisi...
Wakuu,wakati wa malumbano ya Mwakyembe na Rostam,mh.Ole Sendeka aliahidi kutoa bomu la mwisho la kuwasambaratisha mafisadi.Mbona hilo bomu mpaka leo sijalisikia au ni mimi peke yangu?Mzee Ole...
Baada ya DECI kusitisha huduma zake check hii
Mwananchi jana lilifika katika taasisi ya Tumaini Revolving Fund (TRFI) iliyo Tabata jijini Dar es Saam na kushuhudia wakazi mbalimbali wakiomba...