CCM wajiandaa kujibu kauli ya Anne Kilango kuhusu kuogopa mafisadi
Na Kizitto Noya
KAULI ya Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango kuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaogopa...
Kumekuwa na usemi hapa Tanzania kwa muda sasa kuwa VIJANA NI TAIFA LA KESHO.Sensa ya 2002 imedhihirisha pia kuwa Vijana ni wengi zaidi kuliko wazee,vilevile wazee wamekwisha tuongoza kwa nafasi...
2009-04-13 08:17:00
Clerics call for end to graft, impinity
By The Citizen team
Christian leaders urged more efforts to end corruption yesterday, and called on authorities to fight...
Ministers join intense lobbying to evict Ewura, allow Songas to increase its tariffs
A section of gas pipes at Songosongo gas plant in Mtwara. Songas wants to be allowed to sell gas to...
Hawa IPPMEDIA kama wameshindwa kuiendesha web site yao ni bora waifunge kuliko kuendelea kuweka habari ambazo hazifunguki.
Posted Sun, April,12 2009
Source Nipashe
Ufisadi wa kutisha...
Wakati nchi ikiwa katika heka heka za kupiga vita ufisadi, hekalu la Silaa lauzwa huko Mbezi Beach. Nyumba hiyo ya kisasa inadaiwa kujengwa kwa fedha ambazo zimeshindwa kurejeshwa.
......ndiyohiyo
Shibuda awashangaa wanaoogopa urais
Thursday, 09 April 2009 16:30
Na Peter Masangwa
Majira
MBUNGE wa Maswa (CCM), Bw. John Shibuda ameshangazwa na kitendo cha Kamati Kuu ya...
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa imekikataa kwa mara ya pili kitabu cha hesabu za mapato na matumizi ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha baada ya kubaini mapungufu...
Wanawatakia mkono wa kheri ktk siku hii tukufu ya Easter..tukumbushane mema na kuepushana mkono wa shetani. Fanyeni ibada kama vile hakuna kesho!
Sikukuu njema Wanabodi....
SongoSongo Gas-to-Electricity Project
The goal of the Songo Songo Gas to Electricity project is to develop natural gas from the Songo Songo gas field in Kilwa District to provide Tanzanians with...
Tanzania maintains position on land ownership issue
THISDAY REPORTER & AGENCIES
Dar es Salaam
TANZANIA has stood its ground on sticky issues regarding land acquisition, travel...
A oxford don- prof paul colliers book,WARS,GUNS and VOTES has attempted to look at africa's enduring problems with a fresh impetus.He writes-Elections in poor countries with weak institutions can...
Interesting read! Just received this from a good friend from Oxford university, they are actually reading this stuff in their lectures!! UDSM mpoo??
Wageni waijua nchi yetu kuliko sisi wenyewe??
Hivi karibu Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Shinyanga wamepitisha azimio la kutomtambua mgombea yeyote atayejitokeza kupambana na Rais Kikwete uchaguzi ujao ndani ya chama chao. Kauli hii pia...
cocacola, ibm, nokia, nk zinahesabika kwamba ni "brands" zenye thamani sana. kwa maana nyingine "brands" hizi zinaheshimika kwa nguvu zake sokoni. makampuni yenye brands hizi yanawivu sana na...
Wakati mijadala kuhusu malipo makubwa ya wabunge ukiendelea imebahinika kuwa kundi la wabunge 27 hawajawahi kushiriki kikamilifu shughuli za bunge ,ikiwa ni pamoja na kutouliza maswali ya msingi...
Jamani, katika pita pita yangu kuna ka nzi kametua mahali fulani bongo na kuniuliza kama kwa kunidokeza kuwa inakuwaje kuna agency moja nchini ambayo inakusanya hizo appearance fees. Kwamba...
Tukiacha kulumbana, watatuburuza!
Lula wa Ndali-Mwananzela Aprili 8, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WIKI chache zilizopita tumeshuhudia viongozi mbalimbali wakizungumza na...
Wako wamama wengi wasomi na wenye uchungu wa nchi, kiu ya maendeleo, wazalendo.
Sizungumzii itikadi za vyama,
Je TZ iko tayari kuongozwa na mwanamke? JFs mnafikiri ni mwanamama yupi anafaa...
Bado najiuliza hivi ni lini Afika tutafikia kiwango cha kuwajibika cha kiasi hiki?. Leo asubuhi Bob Qick, aliyekuwa mkurugenzi wa polisi kitengo cha counter terrorisim nchini Uingereza amejiuzulu...