Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dk. Idrisa Rashidi ni miongoni mwa watu kumi mashuhuri walioshiriki na kujipatia mabilioni katika kashfa ya radar. Wahusika wengine wakuu ni pamoja na Andrew...
* Sees revenue climbing 11 percent in year to March 31
* Expects new 600,000 hectolitre plant by Nov. 2009
* To add new bottling plant in Dar es Salaam
By George Obulutsa
ZANZIBAR, March 23...
Wadau nafikiri baadhi yenu leo mmesikiliza press conference ya Obama,kuna issue moja najaribu kulinganisha na rais wetu. Alipoulizwa swali kuhusu Stem Cell Research alijibu kwamba," angalia, hili...
Mbunge: HakiELimu itaidondosha serikali
na Tamali Vullu, Dodoma
WABUNGE wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameitaka serikali kuichukulia hatua taasisi isiyo ya kiserikali ya HakiElimu kwa...
South Korean Group May Build 210-Megawatt Wind Farm in Tanzania
Share | Email | Print | A A A March 23 (Bloomberg) -- A group of South Korean investors plans to build a 210-megawatt wind-power...
Kwa mtu anayefuatilia uandishi na maoni ya mhariri wa Tanzania Daima utagundua kubadirika kwa kiasi kikubwa. Kwa siku za karibuni amejitokeza kuwa mtetezi mkubwa wa Dowans na RA. Nahisi alichopewa...
Zitto ameondoka leo alfajiri kuelekea Uingereza na baadaye, Hispania. Taarifa ya Chadema iliyosainiwa na Ofisa Habari wake, David Kafulila imeeleza.
Kafulila amesema Uingeza ataongoza Kongamano...
Wazalendo wenzangu,kwa kipindi cha takriban miezi 12 nimekuwa najiluliza tume za zinazoundwa na raisi/serikali ziko ngapi?na utendaji wake nani anajukumu la kuufuatilia.
Naona na Nadhani kuna...
Mbunge Kilango aandaliwa mkutano na waandishi wa habari bila kujua
Na Jackson Odoyo
Date: 3/23/2009
MBUNGE wa Same, Anne Kilango amedai kuwa alipangiwa kuzungumza na waandishi wa habari kwenye...
Kuna taarifa kwamba Zitto Zubeir Kabwe na Peter Serukamba wanatarajiwa/wanafanya/wamefanya press conference ya pamoja jijini Dar es Salaam leo.
Sina hakika kama wanazungumzia nini, lakini...
Mbunge wa Nzega aingia matatani
Fidelis Butahe
MBUNGE wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, Lucas Selelii amelaumiwa kwa kauli anazodaiwa kutamka kwamba kila mtu anayetaka ubunge akagombee kwao na...
Mkazi wa Mtoni Kijichi akishiriki kuzima moto uliotekeza makazi ya mama mmoja hivi. Nilipoiangala picha hiyo nilibakia kujiuliza kama juhudi zetu katika mapambano haya zinalingana na uzito wa kazi...
Watanzania tunashambuliwa kwa mengi, vyombo vya habari ni mojawapo ya zinazotumika. ...
Magazeti mawili ya The Citizen na The East African yanaandika habari kwa mtazamo na ushabikiaji wa Kenya...
Gazeti la Africa Confidential liliandika kwa kirefu..mengine ni kutokana na "vitoto vya nzi" ambavyo havituliiuko uarabuni..
Zilitolewa Aprili 2005
It was campaign funds for his election
Given by...
Miaka 32 ya CCM na visheni iliyokwenda kombo!
Johnson Mbwambo Februari 11, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WIKI iliyopita chama tawala cha CCM kiliadhimisha miaka 32 tangu...
Sikumbuki kuwaona hawa wenzetu wakishiriki jeshi la ulinzi au angalau kwenye upolisi. Lakini wametawala nchi kiuchumi kiasi cha kupata kiburi cha kubadili hata majina ya mitaa bila kujali wazawa...
Pamoja na ushabiki wangu mkubwa kwa Baba wa Taifa nikiwa mwanafunzi wake nambari moja katika mwamko wa kifikra nimekuwa na matatizo makubwa sana ya kifikra na baadhi ya maamuzi, hatua au mipango...