Jeshi la Polisi asubuhi ya leo lieweka kikao kizito chini ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi RPC Khatib Abdalla Shaaban huku wakipitia kwa makini mkanda wa Mkutano wa Uzinduzi wa...
Na Mbasha Asenga
Mwanahalisi~Maslahi ya Taifa mbele
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amesema wakati wa watu kutumia fedha kununua uongozi umepita.
Alitoa kauli...
Serikali yazirejesha nyumba 120 zilizouzwa
2009-02-12 10:35:12
Na Boniface Luhanga, Dodoma
Serikali imefuta miliki ya nyumba zake zaidi ya 120 ambazo waliuziwa watumishi wake, taasisi na...
Mwanahalisi~Maslahi ya Taifa mbele
MBUNGE anaiuliza serikali bungeni: Wale waliochukua fedha kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) na wakazirejesha ni akina nani na upi msimamo wa serikali kwa...
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta jana alizima hoja ya Mbunge wa Karatu, Dk. Wilbrod Slaa (Chadema) kuhusu tuhuma dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, kuingilia mchakato wa zabuni ya...
There had been several attempts of interrupting the normal workings of this forum. These attacks have caused several problems to our members among them denial of service, slow webpage loading, and...
Mapacha walioungana katika vita dhidi ya ufisadi? Bunge Kukosa Meno na Sintofahamu za Spika Sita.
Nimejaribu kufuatilia mjadala kuhusu suala la spika kukataa hoja binafsi ya Mh. Daktari Slaa ya...
In my life time as I head towards 30s
I had I never felt that a black person would ever become the president of America but I was proved wrong by Americans
Truly and forthrightly, if I was...
Katika mahojiano yake yaliochapishwa katika gazeti la RAI alhamisi iliyopita,Waziri wa fedha wa zamani katika serilikali ya awamu ya tatu,Profesa Simoni Mbilinyi amejitosa katika mjadala...
Date::2/11/2009 (mwananchi)
Waziri Mkuu, wabunge waalikwa tamasha la albino Dar
Na Clara Alphonce
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kupiga vita...
HABARI za kuaminika ni kwamba mtuhhumiwa mkuu katika kesi ya mauaji ya vijana wasiokuwa na hatia jijini huenda akaachiwa huru baada ya rushwa kugawanywa kama pipi kwa mahakimu, waendesha mashtaka...
Malegesi adaiwa kula kitu chenye sumu
2009-02-08 11:03:00
Na Mwandishi Wetu
Mmoja wa watu muhimu anayeaminika kubeba siri nzito juu ya mmiliki halisi wa kampuni tata ya Kagoda, inayodaiwa...
TAHADHALI: MTUNDIKO HUU UMETOLEWA KWENYE GAZETI KAMA HAUPENDI MITUNDIKO TOKA MAGAZETINI TAFADHALI ENDELEA NA MITUNDIKO MINGINE!
MWENENDO wa mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuwa...
Hatimaye ni siku nzuri kwa wana zimbabwe kupata serikali ya mseto baada ya muda mrefu wa malumbano baina ya zanu pf na mdc.leo tumeona morgan wa tvisangarai kuapishwa kuwa waziri mkuu.kwa hiyo...
Waungwana japo hapa si mahali pake, nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuhusu hii scholar ship iliyoanzishwa na Edinburgh University Kwa ajili ya Watanzania tu. scholar ship iliyopewa jina La...
Mwezi February mwaka 2008 nikiwa Jijini Mwanza nilipata habari za kushtusha na kushangaza kuhusu JF. Wakati nikiwa Arusha nilijaribu ku-access JF lakini bila mafanikio na nikadhani kuwa huenda ni...
Kuna error ambayo imetokea kwa mara kadhaa wiki iliyopita mpaka leo. Tumeliona hilo na tumechukua hatua madhubuti kurekebisha tatizo hilo.
Tume-restart server na sasa kila kitu kitakuwa sawa...
I think that its time we used more time in this forum in focusing on SOLUTIONS to these myriad problems facing our nation. But we also need the POLITICAL WILL from those in-charge to implement...
" If you want to know the end, look at the beginning" - African Proverb.
Ukitaka kujua mwisho wetu wa taifa huko mbele tunakokwenda, ni vyema tukaangalia tulikotoka, maana haiwezi kua taabu...