Today marks the 80th birthday of the late great Dr. Martin Luther King Jr. As I sit here listening to his speeches being played on the radio, I couldn't help but wonder what kind of relationship...
KAMPUNI hii ya mafuta ambayo inaelekea kuagiza karibu nusu ya mafuta ytanayoagizwa Tanzania, toka EWURA kutangaza kushushwa bei imekuwa ikitufanyia vituko kwa kuhakikisha karibu vituo vyao...
Wana JF, Katika kuhangaikia wanetu wanaorudishwa vyuo Vikuu kwa taratibu ngumu, nilimpa kampani kijana wangu kuelekea SUA. Nimefika kwa mara ya kwanza na kujionea ambayo yamekuwa yakiandikwa...
UCHAGUZI 2010:
:: Ni Chadema v/s CCM Tanzania Bara
:: CCM v/s CUF Tanzania Visiwani
:: Majimbo 50 tata haya hapa
Na Waandishi Wetu
UKIWA umebakia mwaka mmoja ili kufikia uchaguzi...
Kuna nyumba za NSSF maeneo ya Ada Estate, Kinondoni zilizojengwa pamoja na hospitali ya Tanzania Heart Institute. Zimekaa tu hazipangishwi wala haziuzwi, kuna nini?
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Henry Daffa Shekifu ameitoa eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge (JUHIBU) kwa "Wanakaya" (Dhana Investment) kama wawekezaji pasipo kufuata taratibu za...
We have a large History which we never even cherish.
Mwalimu Nyerere appreared in TIME Cover a paerson of March 1964
you can view article at
TIME Magazine Cover: Julius Nyerere - Mar...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakusudia kuja na orodha mpya ya mafisadi kama ilivyoandikwa katika gazeti la Nipashe (Jumatatu). Tunaelewa serikali ya SISIEMU bado inajikongoja...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS...
Watu wengi wamekuwa wanajiuliza ni kwa nini sasa kuna ufisadi sana kuliko miaka ya nyuma,wengi wa viongozi wamekuwa matajiri katika kipindi kifupi sana,uku wakiacha wananchi walio wengi katika...
Watanzania wenzangu,
ninaandika hoja yangu huku nikiwa na majonzi tele kuhusu hatima ya elimu yetu Tanzania.
Inaonekana wazi kuwa viongozi wa chuo na serikali imeamua kwa makusudi watoto wa...
Kuwakamatwa wamiliki wa Tashrif kuwe somo kwa wengine
Gloria Tesha
Daily News; Wednesday,January 14, 2009 @20:00
Ajali za barabarani hapa nchini si jambo jipya au geni masikioni mwako...
Mojawapo ya chaguzi ambazo zimekuwa na mvuto wa muda mrefu ndani ya CCM ni ule uliofanyika mwishoni mwa juma lililopita ambapo Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (T) alipatikana...
Wana JF;
Leo nimesikia Dr. Karume akipigiwa Wimbo wa Taifa wa Zanzibar.
Mjasiliamali naye alikuwepo.
I might be out of touch . . . Hii ya "Dr" na "Wimbo wa Taifa Zanzibar" imekaaje?
Kuna taarifa kwamba wamiliki wa Kampuni ya Richmond Development LLC, wanafikishwa mahakamani mchana huu, ikiwa ni dakika za mwisho za mahakama. Habari zaidi baada ya kuthibitisha
By Nkwazi Mhango
I was shocked when I learnt that Benjamin Mkapa, Tanzanias former president, is one of the peace mediators in the Democratic Republic of Congo (DRC).
Historically...
Waziri Mohammed Seif Khatib, kupitia kampuni yake ya Zanzibar media Corporation aliamua kulibadili gazeti lake la Asumini na kuliita Taifa Huru. gazeti hili lilikuwa lizinduliwe leo wakati wa...
Hatimaye Dickson Maimu ambaye alikuwa CEO wa RITA na ambaye kwa muda wote yeye na Jack Gotham walikuwa wanajiandaa na mradi huu mkubwa amepewa tender yeye baada ya kupelekwa kwenye mradi huo toka...
Imenishangaza sana kukutana na habari moja katika gazeti la Mtanzania Daima (7 Janauari, 2009). Katika habari hiyo yenye kichwa cha habari kisemacho "Bashe Awashukia Wanaomtuhumu Mkapa" Hussein...
Katika hali isiyotegemewa, Rais Jakaya Kikwete amekumbwa na kigugumizi cha utoaji vyeti kwa wale waliosaidia kuchangia ununuzi wa pikipiki kwa makada wa SISIEMU. Fisadi huyo ni Japhet Lema...