Habari zenu waungwana wana JF. Idumu JF, Tukumbukane wazee wa enzi za BCS Times. Ningependa kufahamu ile shutuma ya kutapeliwa wanawake matajiri wake za vigogo kupitia mchezo wa Upatu iliyomkabili...
Tanzania International Container Services (TICTS) ilipewa mkataba tata imeishia wapi?? wenye taarifa leteni mezani maana ina kila harufu kuwa kuna ufiasadi namna ilivyopewa/kuongezewa mkataba...
Ninasikitishwa sana na utendaji wa wizara ya fedha katika suala zima la uandaaji wa bajeti kwa serikali ya Tanzania.
Kwasababu kila bajeti inaposomwa hakuna jipya katika kuongeza mapato kwaajili...
Dr. Slaa bado alia na CCM
2008-12-15 12:59:27
Na Joseph Mwendapole
Mbunge wa Karatu (Chadema), Dk. Willbroad Slaa, amesema ana ushahidi wa vimemo vilivyokuwa vikiandikwa na Chama Cha...
JK: UVCCM inavurugwa
Martha Mtangoo, Dodoma
Daily News; Sunday,December 14, 2008
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya watu maarufu walio nje na ndani...
Wadau wa JF, leo Rais Bush wa marekani aliingia Baghdad kwa siri kubwa na baada ya kuonana na wenyeji wake akaitisha mkutano wa waandishi wa habari.Mmoja wa waandishi wa habari mIraq, akavua kiatu...
Mheshimiwa Mwenyekiti wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika, maarufu kama AU, Bwana Jakaya Mrisho Kikwete, naomba utege sikio umsikilize Mchungaji.
Najua nimekuwa nikiongelea sana kuhusu mambo ya...
Digging their own graves? We've allowed them to get away with this for years. I'm pretty sure they don't think they are digging their own graves. For them it's just business as usual...
Kikwete ashauriwa kuivunja serikali
Mwandishi Wetu
Disemba 10, 2008
RAIS Jakaya Kikwete, ameshauriwa kuvunja Serikali ili aunde ya mpito itakayoanzisha mchakato wa kujenga misingi...
Tunabishania vitu visivyo na msingi, tunapingana kwa mambo ya kitoto, na tunabakia kushutumiana kwa visivyo na umaana. Vile vya msingi tunaviacha kimya; hakuna mwenye hasira, hakuna anayekerwa; na...
Naomba kuwauliza ndugu zangu wa CCM, kuanzia ngazi ya juu mpaka ya Chini, kwamba wanapopitisaha eg Miswada ya Bunge wanajua maana yake na madhara yake kwa nchi au ndio kusindikiza Bwege wakati...
Dr. Steven Chu, mwanasayansi aliyeshinda nishani ya Nobeli katika fani ya Fizikia ameteuliwa na Rais mtarajiwa wa Marekani Bw. Barack Obama kuwa waziri wa Nishati.
Nanukuu majukumu yake na...
The four horsemen of Apocalypse, gripping the fate of the nation!
Choice is yours, which color belongs to each one of these horsemen!
Wasifu wao:
Andrew Chenge: Mwanasheria Mkuu;-Mikataba...
Nimepata taarifa toka kwa mtu aliye mbeya mjini kuwa kuna maandamano ya wafanyakazi wa kiwila coal mine ati wana miezi minne hawajapata mishahara yao.Mwenye nondo zaidi mwaga hadharani
Tunahitaji vyombo jasiri vya habari - Sitta
Mwandishi Wetu Disemba 10, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni vitendo
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, hivi karibuni alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi...
Jaji Warioba: Hii Ni Hatari
WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema amekerwa na tabia ya wanasiasa kupakana matope na kuonya kuwa kisingizio cha utawala bora kisitumiwe kutaka...
KENYAS DAILY NATIONS VIEWS ON TANZANIA AND EAST AFRICAN
This is a restrained response to an article on Tanzanias stand on East Africa as written and posted by one Mr. Gitau Warigi. I am a...
Nimesoma kwenye ThisDay leo
ANALYSIS: Mramba and Yonas case:
Is this the beginning of the end?
IBRAHIM WERREMA
THE presidential jet was bought. I am told it is currently not of...