Ukitaka kuomba kazi serikalini inakuwaje? Mfano Ikulu au Mambo ya Nje inakuwaje?
Nikiangalia majina ya wanaongia huko kuna kama ka harufu ka undugunization. Mtu unakuwa unazumza lugha saba za...
Ni baada ya gari alilokuwa anasafiria huko Singida kupasuka tairi la mbele na kupinduka mara tatu. Alikuwa katika ziara ya kikazi kukagua barabara akitokea mkoani Manyara. Ndio kwanza alikuwa...
Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa madawa, vifaa na nyenzo mbalimbali kuisaidia nchi ya Zimbabwe kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeushaua zaidi ya watu 500 na ukiendelea...
Kunana fomula ya uongozi huku kilimanjaro siku hizi,,,
Kili Marathon+ Kumbukumbu ya Mangi Mrealle + ufisadi= Ubunge
Mdogo wangu Agrey aliipoakuwa tanzania Brewaries alijua weakness za viwanda...
Naamini muda si mrefu utakuwa umemaliza mikoa yote na hivyo utakuwa umebakisha nchi za nje tuu unless uanze za kila wilaya! Sasa nakuomba yafuatayo! Uanze kukagua miradi isiyo ya maendeleo...
...kama ambavyo viongozi wote wanavyotakiwa kuorodhesha mali zao?
Date::12/4/2008
Kambi ya upinzani wahoji mabilioni ya Mramba, Yona
Na Salim Said
Mwananchi
SIKU chache baada ya mawaziri wa...
Date::12/6/2008
Chadema yadai kesi za ufisadi zinajenga tabaka
Na Salim Said
Mwananchi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka serikali kuwafikisha mahakamni watuhumiwa wa...
Wakulu,
Asubuhi nikiwa hapa duniani nimepata habari kuwa kuna wafanyabiashara wawili maarufu wa nchini wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na utumiaji wa viungo vya maalbino.
Ka nzi...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz...
AZIMIO LA MWANZA
Sisi wananchi wa mkoa wa Mwanza tuliokutana hapa jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa Chama cha CHADEMA leo tarehe 5 Disemba 2008, na baada ya kupata taarifa ya ziara...
Wiki hii imekuwa ya Barka kwa wana JF...kwanza MAX kututhibitishia kama yeye ni dume la mbegu kwa kupata mtoto....halafu hii ya Mwana JF mwenzetu ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandimizi wa...
Na Salim Said - Mwananchi
JOPO la wenyeviti nane wa mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na kusema kuwa wanaenda mahakamani kumshitaki mhariri mtendaji wa gazeti la MwanaHalisi, Saed...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Bw. Lawrence Masha ametakiwa kujiuzulu kutokana na kauli anayodaiwa kuitoa hivi karibuni juu ya mauaji ya albino alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC)...
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kabwe Zitto (pichani), amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumruhusu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
http://http://www.nation.co.ke/oped/Opinion/-/440808/496418/-/3n4rv4/-/index.html
By GITAU WARIGIPosted Saturday, November 29 2008 at 15:12
It is time members of the East African Community...
Heshima mbele wakuu na vigogo.
Nina swali limekuwa lininiumiza kichwa na kunitia hofu kwa siku kadhaa sasa, wakati serikali ikiwa katika mshike-mshike huu wakuwapekeka watuhumiwa wa matosa ya...
Date::12/3/2008
Vigogo wa Benki Kuu wanyang'anywa mabenzi
WAKATI uchunguzi wa ufisadi katika ujenzi wa majengo pacha (Twin Towers) ukifanyika, Gavana wa Benki Kuu (BoT) amezuia matumizi ya...
Kwanza kabisa nianze kwa kupongeza hatua moja ya kumfikisha Mhe.Mramba na Mhe.Daniel Yona mahakamani ili kujibu mashitaka yao ya matumizi mabaya ya madaraka yaliyolisababishia taifa letu hasara...
RAIS Kikwete, amefanya mabadiliko ya makatibu wakuu na naibu katibu wakuu wa wizara 13 na Gray Mgonja wa fedha amekwenda likizo ya kustaafu.
Makatibu kadhaa na manaibu wamehamishwa na wengine...