Mkulo azitamani fedha za Watanzania walio nje
na Mwandishi Wetu, Arusha
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, ameonekana kuzitamani fedha za Watanzania...
Well, this is it! tumekosea kuchapa habari hii kwenye kijarida cha Cheche kuhusu NSSF na kuwajibika kwa viongozi wake. Tulifanya makosa ya kuihusisha NSSF na vifo vya watoto hawa. Kilichosemwa na...
From: africa.house@nyu.edu
To:xxxxxxxxxxxxxxxx
Subject: [africa-house]
Date: Fri, 17 Oct 2008 15:41:49 -0400
New York University's
Africa House
Presents...
'Taifa liko hatarini'
Mwandishi Wetu Oktoba 22, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Zitto asema dalili zote mbaya ziko wazi
Askofu aonya kuna hatari ya kuibuka machafuko...
Habari wan JF.
Kuna suala moja ambalo ningependa kulileta ndani ya JF ili wadau mlitolee maoni yenu.Jana nilikuwa naangalia habari kutoka channel moja ya hapa nchini Rais alikuwa Monduli katika...
On our ongoing "Monitoring Thread" Series, (We have the JK Version) this is Prime Minister Mizengo Pinda and his/her ministers monitoring thread. We are going to try and track down all they do and...
Nchi yachafuka
na Waandishi Wetu
MATUKIO yanayotokea katika maeneo mbalimbali nchini katika siku za hivi karibuni yameanza kuibua hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi...
As the BOSS of FBI, J Edgar Hoover survived Presidents and Attorney Generals of the United States, notably including those of Kennedy brothers. It is said that he KNEW just a bit too much about...
UKIACHILIA MBALI wale wanaotaka kuchukulia hali ya kiuchumi hivi leo kama mtaji wa kisiasa bado ninaamini kwamba ni muhimu kwa Mheshimiwa kuitisha kikao cha kitaifa kuzungumzia hali hii ili...
DAMAS MAKANGALE
Daily News; Tuesday,October 21, 2008 @20:11
Members of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) in Dar es Salaam are today expected to hold peaceful demonstration to express...
Wakati Rais Kikwete amepokea maandamano ya kupinga mauaji ya Albino kwa kupiga mkwara wa kunyonga watu... habari ndiyo hii..
Mtoto mmoja Albino auawa kikatili mkoani Shinyanga
2008-10-20...
Huyu ndiye tumeteuliwa na JK kama PM wetu mpya. Sasa kikosi cha CSI cha JAMBO FORUMS ingieni kazini
Tunataka kujua:
Wasifu wake wa kielimu
Kikazi
Mafanikio yake
Voting pattern yake...
Hali ya mambo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), bado si shwari baada ya kuibuka mvutano wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ambayo kwa sasa inashikiliwa na FREEMAN MBOWE...
Tunaitaka ifanye hivi na ifanye vile; tunaitaka isifanye hivi au isifanye vile; tunataka viongozi wake wawe hivi au vile na tumefikia mahali pa kuibebesha mizigo ya kila aina; tunailaumu kwa...
Wakati sisi tunafanya ziara za dunia kutafuta umaarufu na win win situation, huku tukiuza mashirika na viwanda kila kukicha, kijana wa Baba Josefu anaanza vitu vyake!
Miezi kadhaa nilianzisha...
HATIMAYE Waziri wa Nishati na Madini, Bw. Nazir Karamagi, amevunja ukimya dhidi ya tuhuma za ubadhilifu na ufisadi zilizotolewa dhidi yake na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa, na wanasiasa...
Jamani hivi nchi hii tutafika wapi?
Huyu mtoto alipata adha ya kuungua ndani ya nyumba siku nne zilizopita na kuletwa hospitali ya mkoa wa Kagera pale Bukoba mjini. Na hata sasa bado yupo...
There goes my thousand words......
"JK akisalimiana na baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbarali muda mfupi kabla ya kufungua jengo jipya la halmashauri hiyo jana. Picha zote na...