Finally, something of substance is being made public....
But what would be the outcome of the review, will it equate to a modern, portable and dynamic 21st Century "AruNzibar Declaration"...
Bw. Karume anatoa taarifa kwa wanahabari kuwa Wapemba hawakumchagua ndio maana hakuwapanga katika wizara na sehemu nyengine nyeti za Serikali ya Zanzibar, Ivi nani anaushahidi kuwa Karume...
Dakika tano zilizopita nimefanikiwa kupata dataz za ukweli 100% kuwa kweli Balali, amefariki napenda kutoa pole kwa ndugu,
According to the dataz amefia DC, nyumbani kwake ghafla Jumapili...
Salma atesa na ndege ya Kikwete
Ni ile ambayo rais anaogopa kuitumia kikazi Ulaya
Aipanda kwenda na kurejea katika ziara binafsi
Aitumia kuendea sherehe za mila za Mswati III
na Mwandishi...
Nimejenga hoja kuwa kama kweli wanataka kukomesha mtandao wa wahalifu katika ngazi mbalimbali za serikali na utumishi wa umma, hususan kuanzia na BoT, wampe kinga aliyekuwa Gavana wa Benki hiyo...
Mkutano mdogo wa siku mbili wa wakuu wa Umoja wa Afrika ulifungwa tarehe 23 Mei huko Arusha, mji ulioko kaskazini mwa Tanzania. Mkutano huo ulipendekeza kutimiza lengo la kuunda Nchi ya shirikisho...
Habari kutoka gazeti la Standard la Kenya tarehe 26 zinasema nchi 5 wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki zimepata dola za kimarekani milioni 230 ili kutumika kwa ajili ya kuhifadhi Ziwa...
Wabongo mliopo Nyumbani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ili kuungana na wenzetu wanaotimuliwa huko South Afrika na hatusikii serikali ya huko ikisema lolote zaidi ya kuwakusanya na kuwaweka...
Uongozi wa chuo cha biashara umefanya ufisadi wa zaidi ya shillingi bill 2.5
ambapo ni jumla ya TUITION FEES za wanachuo 400, kwa miaka mitatu 3 Ambapo kila mmoja alipaswa kulipiwa...
Salum Msabaha jana akiongea na wananchi wa Kigoma amesema kwamba hata kama CHADEMA watakataa kukubali kukabidhi madaraka ya Halmashauri ya Kigoma Ujiji,CCM wataingia ofisi za Halmashauri hiyo...
Amani iwe nanyi wapendwa mnaotembelea jukwaa hili tukufu.
Nimechagua kuanzisha mjadala juu ya nguvu ya CCM kutokana na jinsi ambavyo kwa sasa wanayatumia mamlaka waliyo nayo kuchezea...
Dar may drop probe of late BoT governor
Some suspects intend to file a court injunction to stop the government from pursuing the investigations on the grounds that the first respondent has...
Ni katika kuwakumbusha wale watu wetu wa EPA kwamba hapo juu walipo si mbali sana, ipo siku yatawakuta haya, tena kupitia mahakama zetu wananchi..........wasome hapa chini, kijana na pesa zake...
City Fathers, where are you? Still sleeping:The continuing complacency of Dar es Salaam city authorities is now being usefully exploited by enterprising people like this young man, who was...
Katika nchi za ukanda wa maziwa makuu, inaelekea kuwa nchi ya Tanzania imepoteza kabisa nguvu za kijeshi ilizokuwa nazo miaka ya sabini; inawezekana ni kwa sababu ya ufisadi wa wanasiasa wetu...
...and this is the attitude of the Government when its people are suffering from Economic hardship that has affected the whole World
Dar insists import duty on rice will remain at 75pc
By...
..jamani hii habari ndiyo imenithibitishia kwamba Raisi wetu hayuko serious hata kidogo.
..Raisi anakabidhiwa ripoti ya suala zito kama madini halafu anatumbukia kwenye stori za MPIRA.
..hii...
Middle East is where all graft loot goes
KILASA MTAMBALIKE
Daily News; Sunday,May 25, 2008 @00:01
Africa has been transferring 37 per cent of its wealth outside the continent...
Waungwana Ni Kweli Kwamba Tumeumizwa Kwa Kifo Cha Balali Na Hasa Kwamba Hatujamsikia Yeye Mwenyewe Akituambia Kwa Nini Alifanya Madudu Kama Hayo. Ni Vilevile Ni Ubinadamu Kuwa Mara Nyingi...