Wakuu,
Serikali ya Tanzania 'inawalea na kuwalinda' watuhumiwa wa ufisadi. Kuna ushahidi lukuki kuhusu hili lakini mdogo tu ni wa serikali kutamka kwamba eti Balali ambaye ni mtuhumiwa namba...
New twist in Zitto, Government battle for Ethics Bill
By Rodgers Luhwago
THE CITIZEN
Opposition MP Zitto Kabwe yesterday accused the Government of trying to plagiarise his Leadership...
WanaJF; TBC1 wameahidi kurusha hewani kamati ya muafaka ya CCM walichoongea na waandishi wa habari kuhusu muafaka wa siasa kwenye visiwa vya Zanzibar...
Ni vyema wanaJF muyapate ninyi wenyewe...
katiba inasema ,huwezi kumshitaki raisi kwa makosa aliyoyafanya wakati akitekeleza wajibu wake kama raisi, lakini je iwapo hatatekeleza wajibu wake kama raisi anaweza kushitakiwa?
mfano nchi...
We have the Government of retarded people. How could this happened after such a big scandal? :confused:
Ballali still enjoying government perks
-FORMER GOVERNOR OCCUPIES BOT MANSION AS...
Wanadai eti wako ubia na 'mzawa' inaweza kuwa approach nzuri kwa investment hii kama watakuwa hawakuja na ujanja-ujanja.
Lakini kampuni yenyewe haijulikani sana isijekuwa Richmond nyingine...
Wakubwa hii nimeipata BBC jioni hii, wazee wa Pemba wamewasilisha madai yao kwenye ofisi za UN zilizoko Dar na kwenye ubalozi wa Marekani, wakitaka waungwe mkono waweze kuwa na serikali ya Pemba...
Tarehe kama ya leo viongozi wakuu wa vyama vya upinzani walikutana Dar es Salaam, na mbele ya baadhi ya wanavyama vyao na mbele ya waandishi wakatamka kushirikiana. Ni yapi mafanikio? how many...
CCM divided over Chenge welcome
2008-05-10 11:11:56
By Hannah Mwandoloma and Angel Navuri
CCM secretary general Yusuf Makamba has described the official welcome home accorded to former...
Wakuu,
Kulingana na hii statement ya Bw Rweyemamu nadhani
serikali haioni sababu za kumleta huyu bwana ajibu maswali
ya Wa-TZ.My opinion ni kwamba huyu bwana anamaswali ya
kujibu and that...
Sitta aagiza kupitiwa upya kwa sheria ya maadili
Maulid Ahmed
Daily News; Friday,May 09, 2008 @19:02
Spika wa Bunge, Samuel Sitta ameiagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na...
Rais mpya wa Urusi, Bw Medvedev anakusudia kumteua rais anayemaliza muda wake Vladimir Putin kuwa waziri wake mkuu. Yaani baada ya kuwa rais kwa miaka minane, Putin anarejea serikalini kama waziri...
Kwa mambo yaliyojitokeza, Monduli mpaka Bariadi ni kufedhehesha Utawala Bora na miiko iliyowekwa na wenye mapenzi mema (waliyaita maadili ya viongozi wa umma).
Kama kweli ni busara, tulijiwekea...
Waungwana,
Naomba kuuliza.
Je, kuna mtu ambaye anafahamu "Standard Operating Procedures" zinazotumika wakati wa kufanya processing ya "incoming international payments" from overseas banks...
Ndugu wana Jf,
Baada ya jana mie kuhitimisha kuwalemisha watanzania kuhusu Mzee Ben kuachwa kuzomewa na kupanga nini kifanyike chenye manufaa zaidi kwa ajili ya watanzania,nilikaa chini na...
Govt,Zitto clash over Bill
By The Citizen Reporter
THE CITIZEN
With mounting public concern over the declining level of public leadership accountability, the government and opposition...
Ndiyo, tuwazomee mpaka wakose raha
Johnson Mbwambo Mei 7, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WIKI iliyopita kuna kitu kilichotokea mjini Dar es Salaam ambacho kilinifariji mno...
TANZANIA: Agreement signed with US to combat financial crimes
DAR ES SALAAM, 27 August 2002 (IRIN) - The US government and Tanzania have signed an agreement on technical assistance for capacity...
Putin confirmed as new Russian PM
President Medvedev (right) plans to work "in tandem" with PM Putin
Russia's parliament has overwhelmingly approved former President Vladimir Putin as...
Watanzania milioni moja – One –MT project
Nimekaa nikifikiria kuhusu ujasiriamali nikajikuta naona mradi madhubuti ambao kama kweli, kwa nia moja na thabiti isiyo na chembe ya...