Mama Kilango, hutakuwa pekee yako katika mapambano hayo dhidi ya mafisadi. Watanzania tutashirikiana nawe bega kwa bega katika vita dhidi ya mafisadi mpaka wote washughulikiwe na mkono wa sheria...
Niliwapa onyo mwaka jana... mkadhani ninawatania.. mjiandae.... mmoja baada ya mwingine ili liwe somo kwenu na kwa wapambe wenu.. Mnataka kuzungumzia mambo ya kitandani na chini ya mablanketi?
Posted Date::4/28/2008
Aliyeanza kutikisa mnara wa Babel asaidiwe kuuangusha
Na Hemed Kivuyo
Mwananchi
KATIKA kila uongozi wa nchi kuna miiko, mojawapo ya miiko ya uongozi ni kiongozi...
Do you have the right leader?
BBC News Online
Africa's history is littered with leaders who have governed using different styles.
From dictators to military leaders to authoritarians to...
Syndicate mints billions
By Tom Mosoba
THE CITIZEN
A commission of inquiry has revealed how a syndicate of human traffickers was minting billions of shillings from smuggling mainly Somali...
niliposoma hii makala suali la kwanza nililojiuliza hivi chadema wameanza kujipanga huko kwetu kwa kuanza na wasomi au vipi?
sawa tunawakaribisha
Wataka rais wa Z`bar awe Makamu wa Rais...
Naomba kuuliza Kwanini Mkapa?
Na kwanini iwe baada ya miaka mitatu toka alipotoka serikalini,hawa wanaomsema huyu mzee ni mla Rushwa walikuwa wapi zamani kusema haya,
Rais alisema wamuache Mzee...
Wananchi wapigwa risasi, walawitiwa na walinzi
*Mwekezaji ajinasibu ni rafiki wa Rais Kikwete
*Wananchi sasa waja juu, wataka tamko la Rais
Na Mwandishi Wetu, Korogwe
MIGOGORO kati ya...
Ansbert Ngurumo
SISI tunaulizana: Tuwafanyeje kina Ben Mkapa? Rais Jakaya Kikwete na wenzake wanaulizana: Tuwafanyeje kina Ngurumo?
Katika makala ya Jumapili iliyopita...
Kulingana na taarifa ya KLHNEWS, serikali na Mukandala wameamua kuwafutia kesi vijana 38 wa chuo kikuu waliokuwa wameshitakiwa eti kwa kusababisha fujo chuoni.
Hii ni baada ya wana JF kusimama...
Finn's Facts : CCM must expel anti-Kikwete group
FINNIGAN WA SIMBEYE
DAR ES SALAAM
A GROUP of controversial filthy-rich ruling party members is unhappy with President Jakaya Kikwete's...
Mkapa`s immunity on spotlight
2008-04-28 09:33:49
By Gadiosa Lamtey
Two ministers yesterday sidestepped questions as to whether former President Benjamin Mkapa is immune from trial on...
To Dear our customers, Good day to you,
Trust you and all your family members are fine.
This is Toru Ogawa, staff of Autorec Enterprise Ltd. Japan.
Thank you very much for your kind...
JK, kama kweli una nia ya kuwashughulikia mafisadi basi Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vyetu na wale tusiokuwa na vyama tutakuunga mkono katika juhudi zako za kupambana na ufisadi na...
...Kama upo kwanini ufanywe siri?
Question marks on Chenge `probe`
2008-04-26 10:01:37
By Angel Navuri
The government yesterday declined to name the local security institutions said to...
wanandugu imebaki masaa kadhaa kabla ya kumalizika siku ya jumapili na kama kila mtanzania mwenye macho na aliesikia siku bwana mkubwa mhe dk mahanga makongoro aliwaambia waheshimiwa wabunge wenye...
Katika hali ya utatanishi, kwenye sherehe kubwa ya muungano ambayo ilihudhuliwa na viongozi mbalimbali na wale wastaafu lakini Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa hakuonekana uwanja wa Taifa...
[RIGHT][CENTER][LEFT][B]"Tuwafanye waamini, wasadiki na pia watuunge mkono 2010" Hii ndiyo kauli mbiu ya ccm kwa sasa, kujiuzuru kwa maziri ndani ya serikali ni danganya toto na kamchezo ka funika...