Wakati tukishuhudia sarakasi ya demokrasia huko Zimbabwe; tunaona mifano ya viongozi waliojito muhanga kuzikomboa nchi zao na kujaribu kung'ang'ania madarakani hata pale wananchi wanapowachoka...
TRA compels 30 EPA suspects to pay up
Monday, 14 April 2008
By Daniel Said
EAST AFRICAN BUSINESS WEEK
DAR ES SALAAM, TANZANIA The EPA and the Richmond scandals, have taken a new twist...
to Kigoma North MP Zitto Kabwe, who is travelling to America on the prestigious International Visitor Program: Leadership Development for Young Political Leaders.(Photo: Courtesy of US embassy)...
Wazee najitahidi kuwatupia mambo ya leo MLIMANI wakati wa kumsimika msomi wetu Prof Issa Shivji Kiti Maalumu cha Usomi Cha Mwalimu Julius kambarage Nyerere. yeye anakuwa msomi wa kwanza kutunukiwa...
Baada ya kusoma hili gazeti nina wasiwasi ya kuwa Mzee Pinda na Mkulu Shein (the only clean people in Chama Cha Makulaji)wanatumiwa ku spin ile scandal ya chenge wanatuletea EPA....ama kweli...
Kama kuna neno ambalo leo tunaliogopa kuligusa ni neno "unyonyaji". Kimsingi neno hili lilitokana na dhana ya jinsi kupe anavyoishi kwa kunyonya "host" wake kama ng'ombe, mbwa n.k Kwa maneno...
Nimelazimika kuanzisha thread mpya kuhusiana na suala hili kwa kuwa binafsi sioni kwamba hili ni suala la kisiasa, pili thread iliyopo inamuongelea Balozi Maajar na JF as if tukio zima lilikuwa...
By WILFRED EDWIN
China is partnering with Canadian firm Douglas Lake Minerals Inc in the exploration of minerals in Tanzania.
The Chinese are interested in exploring and developing gold, copper...
Wana JF,
Naomba mwenye nukuu kamili ya viapo vya wafuatao katika mfumo wa serikali ya Tanzania avibandike hapa.
Polisi
Usalama wa Taifa
Wanajeshi
Wabunge
Mahakimu/Majaji
Mwanasheria Mkuu...
Bot under fire over offshore accounts
By Mkinga Mkinga
The Bank of Tanzania (BOT) yesterday came under intense pressure to relax its confidentiality clause and reveal the names of top...
Mbunge alalamikia kutukanwa na wananchi
JIBU LA SWALI LA MBUNGE JIMBO LA ILALA
MBUNGE wa Ilala, Musa Azzan Zungu (CCM), amelalamikia kutukanwa na wananchi wake kutokana na kutokarabatiwa kwa...
What about Tanzanians who are working abroad? Do they need authorizatin from Governor of BoT too?
BoT verdict on accounts
By The Citizen Reporter
As allegations of grand corruption...
Aprili 17, 2008
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu, Wanahabari,
Asasi ya Maendeleo Tanzania; Tanzania Development Initiative Programme (TADIP), imeandaa mjadala kujadili Nafasi ya...
Shein aenda Denmark, Uingereza
2008-04-15 10:33:26
Na Mwandishi Wetu
Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Shein, jana aliondoka nchini kwenda Copenhagen, Denmark na London, Uingereza kwa ziara ya...
Jamani angalieni jinsi shilingi inavyopata nguvu haraka zidi ya foreign curency, sijui ndiyo itadumu au ni ya muda tu!!
http://www.moneylinktz.com/rates.htm
Au ndiyo pesa za misaada...
Mimi najiuliza shilingi yetu ya Tanzania imekuwaje tena? Mwishoni mwa mwezi wa pili exchange rate kwa dollar ilikuwa sh1150-1170, mwishoni mwa mwezi wa tatu especially tarehe 27/03/2008 ilikuwa...
Kama mzazi na kama mwanajamii mwema sioni haja ya kuhoji kuhusi hili kwani ni utaratibu wa ki utendaji. Wakati mwingine kuhoji kila kitu ni kuwafundisha watoto ukaidi usio na sababu, kwasababu...
Ivi naomba kujua ni kitu gani kinaendelea katika Chuo Kikuu chetu sehemu ya Mlimani. Kulikua na uchaguzi ufanyike last week sasa uongozi wa huo ukasitisha uchaguzi siku moja kabla au tuseme masaa...
Where does starvation exist in the world today? What are some of the causes of world hunger? Are citizens of developed countries donating monetarily to the ongoing relief efforts? In this article...
Miaka 36 ya kifo cha Abeid Amani Karume
Na Jabir Idrissa
WAKATI Wazanzibari wanakumbuka mauaji ya kiongozi wao wa kwanza baada ya Mapinduzi ya 12 Januari 1964, vilevile wanatafakari...