Minister in graft probe
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A SENIOR cabinet minister is under corruption investigations over his involvement in dubious deals dating back to former president...
Polisi Zanzibar wadaiwa kusuasua kutoa idhini ya maandamano
Na Muhibu Said
JESHI la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, kisiwani Unguja, linadaiwa kusita kuruhusu maandamano ya amani...
Nasikia Uchaguzi wa DARUSO uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa, naskia ni sababu za kisiasa, naomba mwenye datails azimwage hapa JF tumkome nyuni kweupeeeeeeeeeee
Baada ya Kenya kuendesha shughuli za serikali kwa miezi 5 bila mawaziri (isipokuwa wale wachache walioteuliwa kabla ya muafaka) wala waziri mkuu, tumejifunza nini? Kuna umuhimu wowote wa kuwa na...
jamani mie sijaelewa kabisa ilikuwaje mheshimiwa spika akafanya utafiti huu.
hebu tliangalie na kulijadili
Spika afichua siri za wanaume wanaopewa kibano na wake zao
2008-04-10...
LOWASSA NA ROSTAM NI MADONI wa BONGO MAFIA
Kwa muda mrefu watu mbalimbali haswa wanahabari wanofuatilia duri za kisiasa hapa nchini, wamekua akinukuliwa wakidai kwamba URAIS WA JK NI WA...
EasyFriday-Pinda, where fisadis roam, corruption swells
SIMON MKINA
THIS DAY
THE other day I heard my Prime Minister Mizengo Kayanza Peter Pinda few days after he was sworn in say he...
The current prince of oil in the market is fluctuate between $105 to $110 for future contracts delivery of June to August. After analyze and conservation with energy traders i found that no one...
Foreign banks control Dars T-bill market
By STAFF WRITER
THE EAST AFRICAN
The large foreign-controlled banks operating in Tanzania have literally cornered the Treasury-bill business and...
Wakati mkiendelea kutafakari uamuzi wa Tanzania kupeleka majeshi nchini Comoro, Setikali imetangaza kuwa iwapo itaombwa, ipo tayari kupeleka majeshi yake nchini Zimbabwe ili kumng'oa kiongozi...
Kuna debate kali inayoendelea hivi sasa ndani ya bunge la Norway kutokana na serikali ya Nchi hiyo kuwekeza kiasi cha US $235.3 million kwenye kampuni ya Barick huko Bulyang'ulu. Pesa hizo ambazo...
well kama ufujaji wa pesa ni sawa na UFISADI then this fits the bill
BODI ya Biashara ya Nje (BET) imekumbwa na mtafaruku kiasi cha Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko kumwagiza mwenyekiti wa...
EPA: Minyukano ya mafisadi imemwamsha mwenye mali (1)
Joseph Mihangwa Aprili 2, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Kitendo
MBWA mwitu ni mnyama mwindaji hatari kwa wanyama wadogo wadogo porini. Silaha...
Mwenye nyumba ataendelea kulala?
Jenerali Ulimwengu Aprili 9, 2008
KATIKA hatua niliyofikia katika mjadala wa uongozi wetu, hivi sasa inawezekana kufanya majumuisho ya vipengele...
Wandugu kama tuonavyo jinsi mwenge wa Olympic unavyoleta zengwe duniani kote. Kasheshe la London, Paris, leo huko San Fransisco, Je na sisi tumejiandaa vipi na mapokezi yake? au FFU ndo...
Marekani, Uingereza zawaonya Kibaki, Raila
Na Waandishi Wetu, Dar na Nairobi
MAREKANI na Uingereza, zimewaonya Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Mtarajiwa Raila Odinga na kuwataka kumaliza...
Tanzania's gold potential now at 1,000m ounces
Monday, 07 April 2008
By Daniel Said
DAR ES SALAAM, TANZANIA Estimates are putting Tanzanias gold potential at 1,000 million ounces...
Na Saed Kubenea
PAMOJA na madaraka makubwa aliyonayo ndani na nje ya chama chake, Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kupitisha kile alichokiamini, alichoombea misaada na ambacho serikali yake...
Huku ndio naita kujibu hoja kwa hoja...
Sitta orders expenditure report in bid to clear his name
2008-04-09 09:42:56
By Judica Tarimo, Dodoma
Speaker of the National Assembly Samuel...