Wana JF,
Ikiwa huyu mkurugenzi aliyechota Sh4 bilioni za NBC ameweza kushitakiwa kwa kosa kubwa la kuhujumu uchumi, hivi haitawezekana kwa wale walioiba za BOT na hata wale wa Richmond...
Serikali ya Tanzania inadaiwa iko mbioni kuleta washauri wapya wa Ikulu na Wizara mbalimbali. Washauri hao toka nchi za Scandinavia wanatarajiwa kuingia nchini wakati wowote ili kusaidia kutoa...
Jana katika taarifa ya habari ya star TV,kilitokea kituko cha mwaka kuhusiana na uwanja mpya. Mhe naibu waziri,Bendera aling'aka kuhusiana na TFF kudai mechi za timu ya taifa lazima zichezewe...
EDITORIAL: Plunder of minerals must be stopped now
EDITOR
THIS DAY
DAR ES SALAAM
TANZANIA is undeniably one of the few African countries endowed with rich mineral resources, ranging from...
Hapo zamani katika kisiwa kimoja cha kifahari kulitokea kiongozi mmoja matata sana alipendwa na watu wake kutokana na utendaji wake wa kazi tokea ujana wake mpaka siku hiyo ambayo yeye mwenyewe...
Hivi kuna mtu anayo mafaili ya huyu bwana au picha akiwa na radicals kisha tujue kama alikuwa si radical enzi zake wakati anasoma University. Waziri mzima badala ya kureason na hawa wanafunzi...
Walioandamana kumpinga Dk. Ngasongwa kushitakiwa
na George Maziku
WANANCHI walioandamana wilayani Ulanga, mkoani Morogoro kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kumwacha Dk. Juma Ngasongwa...
Kuna mdau mmoja anajiita zikchvieck motseck na Email yake ni <motseck@gmail.com> akiwa anatuma ujumbe huu:Asanteni sana kwa kuniunga mkono na jamboforums.com
Na dhamira yake SI NJEMA hata kidogo...
RELIGIOUS leaders and Civil Society Organisations (CSOs) have called on the government to ensure that companies that are involved in large scale mining be forced to pay reparations for the...
Wana JF,
Mimi nimekuwa mwanachama hapa JF kwa miaka...lakini kwa kipindi hiki cha sasa mambo yamebadilika kwa kasi kiasi kwamba napitwa na mijadala mingi.
Naombeni tupeane mbinu za kuwa...
Hivi kweli Tanzania haina mzalendo yeyote mwenye sifa za kuwa mshauri wa viwanda mpaka tupate kutoka Japan? Au ndio kuomba fedha kwa njia mbadala? Nasikia kichefuchefu kwa hii tabia ya ombaomba...
ANALYSIS: Shifting from dollar use in oil exportation: End of the dollars reign?
THISDAY CORRESPONDENT
Dar es Salaam
SHIFTING sands are being noticed in a breadth of countries, led...
Kimya hiki kiwe na mshindo…
Chesi Mpilipili Machi 5, 2008
Raia Mwema
NAKIRI kufurahishwa na staili mpya ya utendaji kazi aliyokuja nayo Waziri wa zamani wa Wizara ya Viwanda...
Habari nilizozipata kupitia kingo za ukuta za kuaminika, viongozi waandamizi wa Habari Corporation wameanza kujiuzuru mmoja mmoja baada ya kushinikizwa na Rostam Aziz kumsafisha kupitia magazeti...
EXPERIMENTS on rainmaking technology in the country have stalled due to lack of funding, Minister of State in the Vice Presidents Office (Environment), Dr Batilda Buriani, said today. Dr Buriani...
Maskini, Tz yetu (si yao)!
Pamoja na kuyasikia hayo ya TICTS 'Tiscan' huko bandarini kama yalivyoelezwa na kamati ya bunge miundombinu pia kwenye gazeti la Thisday, KUNA NYINGINE NILIKUTANA...
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni...
Hii inaweza kuwa ya mwaka. Mteja mmoja wa benji ya azania bancorp amejikuta akiibiwa sh milioni 10 katika mazingira ya kitapeli akiwa ndani ya benki;
bwana huyo anasema kuwa aliingia ndani akiwa...
Linapokuwa suala la dawa za ARV ambazo hutolewa bila malipo kwa walengwa, kinakuja kichekesho. Kwanza wafamasia wanasema kuna uwezekano mkubwa watumiaji wanatumia dawa hizi chini ya dozi...