The Telegraph
Sarah Knapton
Tue, August 10, 2021
Scientists have called for an end to mass testing so Britain can start to live with Covid
Scientists have called for an end to mass testing so...
CHANJO SASA RASMI KWA WATU WOTE WA MIAKA YOTE (kuanzia watoto mpaka wazee)
Zoezi hili linaanza kesho tar 12 baada ya kugundua kwamba vijana wengi wanahitaji chanjo.
tangazo hili limetolewa na...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate akisimamia zoezi la kuhakikisha watumiaji wa Vyombo vya usafiri wa umma wanavaa Barakoa ili kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19. Pamoja na utekelezaji wa...
Kwa namna tunavyoambiwa covid ipo na kwa ukweli kwamba binadamu ndiye kiumbe Mwenye risk yakupata huu ugonjwa na kwa kuzingatia kamatakamata isilo na legal facts inayoendelea upo uwezekano...
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake...
Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona...
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19
Akihutubia...
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona.
Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo...
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu...
Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19...
J3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya.
Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa...
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo...
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya...
Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi...
Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na...
Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19.
Katibu...
Mkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu...
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 65,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,600 ndani ya masaa 24
Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji kwenye...
Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.