Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.
CORONA IMESABABISHA...
Cc: Andiko hili liwafikie wanasheria na wote wenye kuhusika.
Nchi yetu ina Katiba, sheria, kanuni, miongozo na taratibu — za ndani na za kimataifa.
Katiba yetu inatambua haki ya kuishi...
RC wa DSM Amos Makala ametoa siku ya jumapili wiki hii kuwa siku ya chanjo kimkoa katika uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 10 jioni kwa Watu wote bila kuangalia umri na endapo...
Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani...
Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo.
Kwa nini huoni...
Kufuatia mfululizo wa ibada zake na neno kuu "Corona", Askofu Gwajima amevutia idadi kubwa ya watu kumfuatilia kwenye mitandao huususan YouTube.
Mojawapo ya ujumbe wake ni kuishambulia Serikali...
Habari wadau wa JF
Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19.
Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini...
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana...
Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu.
Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima.
Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu...
Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka...
Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza...
Tangu zoezi la haya machanjo lianze, wajuvi tuliona kuna usanii mwingi na maigizo ndani yake.
Ukiachana na kituko cha wale manesi bandia walioshika sindano kama penseli tena bila gloves na...
Ninachokiona ni kwamba watu hawajaweza kufikiri na kutafakari kwa umakini na wengi pia wanashindwa kutambua ikiwa ni habari zipi za kuamini kwani habari ni nyingi za uongo na uzushi ambao...
Chanjo zote zikiwamo Janssen ya J & J hutolewa kwa maelekezo yaliyo wazi kutoka kwa mtengeneza chanjo husika.
Janssen kabla ya kutolewa kwa mtu haya yanahitajika kuchukuliwa:
1. Kipimo cha BP
2...
Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa...
Kwa mujibu wa Waziri Mollel:
1. Suala la ugonjwa wa Corona na tahadhari zake zikiwamo chanjo ni suala la kisayansi ambalo si kila mtu anaweza kuwa na ujuzi nalo.
2. Ni bahati mbaya sana kuwa...
Lilikuwa jambo la msingi kusimama kwa muda kupisha zoezi la chanjo kuanza bila ya kutatizika.
Muda wa kuitumia karata ya wingi wetu vizuri ili kuyajaza magereza yao sawa sawa umewadia.
Ni muhimu...
Naomba nimkumbushe Naibu Waziri wa AFYA juu ya kauli zake mbili tofauti juu ya chanjo kwa marais wawili ndio zinazomfanya Askofu Gwajima alipuke na Kuwambia viongozi waache vigeugeu.
Wakati wa...
Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.