Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"...
68 Reactions
239 Replies
19K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amezungumzia mvutano uliojitokeza kati ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa Askofu Gwajima sasa kapitiliza katika kuwapotosha Watanzania kwenye matamko yake juu ya chanjo ya UVIKO-19 (Corona). Askofu Gwajima kupitia ibada za...
23 Reactions
291 Replies
20K Views
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Godwin Mollel amewataka wananchi kutokuogopa maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu chanjo ya Uviko-19 kwani chanjo hiyo ni...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa...
2 Reactions
3 Replies
913 Views
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema, watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ndivyo mgogoro na malumbano juu ya chanjo ya Corona kati Gwajima wawili unaweza kumalizwa bila yoyote kupata ushindi; Waziri na naibu waziri wake watatenguliwa uwaziri na kubaki wabunge wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbalimbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19. Wapo wanaopinga chanjo na wapo wanaotaka chanjo na...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Kuhusu chanjo ya Johnson and Johnson, Leo nimesikiliza vizuri Serikali ikizungumzia hili suala na Mh. Raisi amezungumza kuwa unapata chanjo moja tu. Hapa kuna jambo halipo sawa, kwa taarifa...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Alichosema hayati JPM sasa kimeenda kutimia maana sasa UVIKO-19 unakuwa ugonjwa tutaoishi nao katika jamii. Hayati alisema mapema kama jamii tujiandae kuishi na hili gonjwa. Tujiandae Sasa...
21 Reactions
130 Replies
8K Views
Uhiari wa chanjo ya COVID-19 uendelee kuheshimiwa. Maisha ya mwanachama wa chama cha siasa sio mali ya chama. Kwa CCM (au chama kingine chochote) kuweka msimamo wake kuhusu hii chanjo...
1 Reactions
6 Replies
792 Views
Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao, tangawizi na...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo...
5 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari wana Jamìi Forum popote mlipo. Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta. Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nipashe inaripoti kuwa waziri wa afya Dorothy Gwajima amesema amewaandikia polisi barua ya kukamatwa kwa mchungaji josephat Gwajima. Hii ni baada ya IGP kusema kuwa afuate hatua za kisheria Soon...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
17 July 2021 Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI...
4 Reactions
152 Replies
13K Views
Back
Top Bottom