Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi...
48 Reactions
197 Replies
16K Views
Kutokana na uzalishaji mkubwa wa mahindi uliofanyika mwaka huu na kupelekea bei ya mahindi kushuka sana, mbunge wa Namtumbo Vitar Kawawa ameiomba serikali itoe fedha inazopewa kama msaada wa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Ninachojua aliyemtakatifu 666 haimuhusu!!! Ila 666 inamhusu yule ambaye atabaki baada ya unyakuo, na hata kama chanjo ingekuwa 666 mimi inanihusu nini kwa sasa, kwa sababu haiwezi kufanya kazi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa...
5 Reactions
121 Replies
8K Views
Serikali imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona. Gerson Msigwa amekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuzungumza na wanahabari karibu kila mwezi, hivyo awe anasema pia kiasi...
8 Reactions
96 Replies
8K Views
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC...
15 Reactions
73 Replies
7K Views
Polepole kasema haoni thamani ya fedhha (value for money) kwenye pesa ya kununulia chanjo. Hakuna aliyejitokeza kutetea thamani ya fecha inayonunulia chanjo ya corona isiyo na uwezo wa kumlinda...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Kinachoendelea serikalini na bungeni ni kutafuta mbuzi wa kafara baada ya “utapeli” wa serikali kuhusu chanjo za korona kushtukiwa na wananchi wengi nchini. Fikiria chanjo za watu milioni moja...
42 Reactions
116 Replies
8K Views
Ndugu yangu Ndugai alitangaza ratiba mpya ya Bunge (vikao kuanza saa 8 mchana) na jinsi wabunge watakavyokaa wakiwa Bungeni (kutumia kumbi 2), pia alitangaza kuwa wabunge wote wavae barakoa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana...
24 Reactions
165 Replies
11K Views
Mu: everything you need to know about the new coronavirus variant of interest Luke O'Neill, Trinity College Dublin September 3, 2021 10.06am BST The World Health Organization (WHO) has added...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze. Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge! Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge! Tunaanzaje...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahisi serikali imeona kitanzi cha gharama za chanjo ilichoingia pupa, Ifahamike kwa nchi ya Tanzania madhara ya uviko-19 si makubwa kulingania na wenzetu duniani ,kiashiria ni mapokeo ya chanjo...
12 Reactions
23 Replies
3K Views
Nchi yetu itapiga hatua kimaendeleo katika sekta zote siku pale viongozi wa serikali wataacha upuuzi wa ku "underestimate" uelewa wa sisi wananchi wa kawaida. Imefika hatua viongozi waache ile...
5 Reactions
4 Replies
823 Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake ya mwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari na yeye...
26 Reactions
124 Replies
14K Views
Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua...
22 Reactions
288 Replies
19K Views
Nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa sana na huyu kiongozi ambaye pia ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo la KAWE kwa kauli zake za kuligawa taifa. Ni kama vile mamlaka vinamchekea utafikiri yeye...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom