Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.
Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wakazi Tarafa ya Mihambwe wamehasika vilivyo kwa hiyari yao kupata chanjo ya Uviko 19 (Corona) mara baada ya kuelimishwa na huduma kusogezwa jirani na Wananchi...
Limeisha. Mshindi amekuwa Askofu Gwajima. Pascal Mayalla kwa mara nyingine tena amepigwa KO. Nakumbuka alivyokuwa akishadadia Gwajima afukuzwe ili yeye Pascal arudi tena kwenda kuomba Kura katika...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022...
Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe...
Wizara ya Afya imetangaza vifo vilivyotokana na janga la Corona vimefikia 714 huku maambukizi yakiwa 25,674 tangu kuripotiwa kwa ugonjwa huo hadi kufikia Septemba 20
Watu 4,355 wamelazwa huku 80...
Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao.
Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja...
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021...
Ubora wa chanjo unaendana na kufuatilia taratibu za uhifadhi. Kama chanjo imeelekezwa kutumika kwa kipindi flani lazima iwe hivyo, Kama imeelekezwa kutunzwa kwenye joto la ngazi flan lazima iwe...
Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu.
Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la COVID19 limeathiri ukuaji wa uchumi wa Tanzania kutoka 7% hadi 4.7%. Huku akitaja sekta ya utalii, usafiri na usafirishaji kuwa sekta zilizoathirika zaidi...
Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema...
Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni...
Kuna tofauti kubwa kati ya dunia ya kwanza na hii yetu ya third.
Wakati askofu Gwajima akiitwa kwenye tume za maadili za bunge na CCM na kuadhibiwa kwa kuhoji umadhubuti wa chanjo wenzetu kule...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema takribani watu 345,000 sawa na 34% ya chanjo zilizokuja wameshachanja.
Msigwa amesema kazi kubwa imefanyika kuhakikisha watu hao wengi wamechanjwa na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama...
Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19.
Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu...
Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba (Mb), amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.