Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja.
Hii itasaidia
1. Watumishi kuto ambukizana
2...
Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe.
Kauli...
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima...
Waziri wa Afya, Dkt Dorothy Gwajima amesema takwimu za Tanzania zinaonyesha hadi kufikia Novemba 28, 2021 jumla ya watu waliothibitika kuwa na maambukizi ya #Uviko-19 ni watu 26,273 na vifo 731...
Wizara ya Afya imesema hivi karibuni kumekuwa na tishio la kutokea Wimbi la Nne kutokana na taarifa za ongezeko la visa vipya na kuwepo kwa wasafiri wengi ndani na nje ya Nchi katika kipindi cha...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni...
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo...
Serikali ya Tanzania leo imepokea dozi 499,590 za chanjo ya ugonjwa wa Uviko-19 aina ya Pfizer kutoka serikali ya Marekani ikiwa ni msaada wa mpango wa Covax.
Chanjo hizo zimepokewa wakati...
Wadau,
Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban...
Waziri Mkuu mh Majaliwa amesema bara la Afrika kwa sasa linapambana na wimbi la 4 la covid 19 hivyo watanzania tuendelee kuchukua tahadhari.
Majaliwa amesema hadi sasa watanzania 725 wameripotiwa...
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona...
Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani.
Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo.
Nchi nyingine za Ulaya zilisita...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania
Hatua hiyo...
Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa...
Kuimarisha na kuhamasisha jamii kupata chanjo dhidi ya UVIKO - 19 pamoja na kuendelea kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo;
Sekta ya Afya inaimarisha upatikanaji wa huduma za...
Dodoma.Tanzania imeweka mkakati wa kuchanja watu 100,000 kila siku katika kukabiliana maambukizi ya Uviko -19.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Abel...
Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini
Taarifa hiyo...
Nawasalimu sana kwa jina la JMT yetu pendwa!
Baada ya mheshimiwa raisi kuagiza fedha za IMF kwenda kwenye elimu na kujenga madarasa ili watoto wa kidato cha kwanza mwakani wasipate tabu ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.