===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa...
Wanabodi
Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.
Kwenye visions za trends readings zangu...
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku
====
Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya...
Hii nchi ya Cuba ambayo ina vikwazo kiasi kwamba magari yao mengi ni yale ya kabla ya vikwazo miaka ya 1950’s mpaka sasa wana dose mbili ambazo karibu zitapata uhakiki wa WHO na tayari zina kinga...
Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria, leo tarehe 15 Januari 2022 Jijini Dar Es Salaam, imefanya Uzinduzi wa Utafiti wa Utalii wa ndani na Mchango wa Sekta ya Utalii...
Picha hapa chini inaonyesha jinsi watanzania ni ndumila kuwili isipokuwa Kikwete Yeye alisimama na barakoa yake tena ile Babu kubwa N95
Hakuna Waziri wala wasaidizi wa hayati Magufuli walijaribu...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure.
Hayo yamebainishwa na...
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha...
Wanabodi,
Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu!
Askofu wetu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa...
WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI
===
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy...
Iko kama "The Comedy" tu:
US puts Tanzania, five other countries on travel red list
Beberu sasa katupiga kalamu kama ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra.
Wengine wanapambana na hali...
Waziri wa Afya Dkt.Dorothy Gwajima, amepokea Chanjo za Moderna chini ya Mpango wa COVAX hii ikiwa ni Awamu ya Kwanza kwa aina hii ya Chanjo kuingia nchini kiasi cha dozi 376,320 ambazo...
Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona.
Pia Waitara ameongelea mabasi ya...
Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya:
Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu:
Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong...
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa...
KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown.
Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali...
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi...
Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo...
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.