Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na...
Moja ya sababu kushinda Jambo lolote lile ni kukubali uhalisia wake.
Huwezi kushinda Jambo fulani bila kukubali uhalisia wake, bila kujua pande zote za shilingi na hii inatutesa sana nchi zetu...
Habari!
Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa?
Tumeshindwa kujenga madarasa kwa...
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya Marekani, CDC imeshauri watu kupata chanjo za Pfizer ama Moderna kuliko J&J.
CDC imefikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na wataalamu wa afya kwamba hizo chanjo...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema hadi sasa 2.2% ya watanzania wameshapata chanjo ya covid 19 na hakuna maambukizi mapya yaliyoripotiwa.
Makubi amewataka wananchi wajitokeze kwa...
Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron.
Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo...
Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu.
Je, mnadhani watanzania ni wajinga...
Rais Samia amewakumbusha viongozi kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuchanja chanjo ya #COVID19
Amesema hayo akizuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi...
Leo tarehe 02 Agosti 2021, waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari walipata chanjo dhidi ya UVIKO 19 pale Karimjee Dar.
Miongoni mwa waliopokea chanjo ni mwandishi nguli Pascal Mayalla. Katika...
Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu.
Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani...
Akihojiwa clouds Humphrey polepole amesema wapinzani Ni sawa Corona.
Kauli hii ya kiongozi kijana inaweza tafsiriwa Kama kauli ya kiongozi aliyepoteza dira na ambaye kwake maisha ya watu wasio...
Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii.
Rais Samia Suluhu...
Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka...
Sayansi ya virusi ni mtambuka kama zilivyo zingine.
Virusi vinafahamika kubadilika hata kuwa hatari zaidi, visipotokomezwa mapema.
Virusi vya corona katika miili ya wasiochanjwa ndiko yaliko...
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu kuchanja watu kwa lazima.
Hii baada ya vurugu kubwa ya waandamanaji kutokea Ubelgjii.
Walikuwa wakiandamana kuelekea makao makuu ya umoja wa ulaya...
Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameshangaa kuona watu kwenye Mafunzo na Semina Wizara ya Elimu hawavai Barakoa wala kufuata kanuni za afya za kujikinga na...
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.
Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.