Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kupata chanjo ya CORONA kwa kuwa tiba ya maradhi hayo hugharimu taifa.
Pia amesema ukipata corona kupona au kufa ni hamsini kwa hamsini, na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa...
Wanabodi,
Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili.
Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa...
Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021
Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa...
Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana...
Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China
Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya...
Kama ilivyo kwenye sheria ya manunuzi matumizi ya Tshs.1.3 trillioni ya UVICO -19 zitangazwe kupitia Taneps ili watu wenye sifa waombe na jukumu la Serikali liweni kusimamia ubora.
Nchi...
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.
Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson &...
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7
Waziri wa Usafirishaji...
Dk. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya amesema "Nizungmzie Chanjo ya UVIKO 19 ambapo mpaka sasa jumla ya wananchi 638,000 wameshapatiwa Chanjo ya Johnson-Johnson na Ijumaa wiki hii tunapokea Chanjo...
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka...
Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote.
Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye...
Kumekuwa na malalamiko kuwa mganga mkuu wa Tumbi Hospital amekuwa akitoa vitisho kwa watumishi ambao bado hawajashawishika kuchanja chanjo ya corona!
Mganga mkuu huyo Dr Malima amekuwa akitishia...
Sijaelewa utaratibu wa chanjo hii ya uviko kuwabagua walio chini ya miaka 18 tumejiridhisha vipi kuwa wao hawawezi kuambukiza na kuambukiza??¿
Taifa lisipokuwa na sera zake litafanyia kazi sera...
Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.
Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa...
Kila Rais aliye simama pamoja na vitu vingine lakini kubwa ilikuwa kuomba vasinesheni ilikuwa kwa viongozi karibu wote kutoka Afriaka hivi hii imekaaje, Afrika kunani maana mpaka jana tarehe...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga.
Ameeleza, "Tuendelee...
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema hadi sasa watanzania zaidi ya laki tano wamepata chanjo ya covid 19 ambayo ni 51% ya chanjo zilizopokelewa.
Mikoa iliyofanya vizuri ni Katavi, Lindi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.