Kwenye hili la Chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati.
Na Dotto Bulendu(MwanaPuge),nikiandika kutoka kijijini Puge.
:::::::::::::
Vita ya hoja juu ya Ugonjwa wa Corona nchini kati ya Ndugu wawili...
Jamii Forums inakukaribisha kwenye Mjadala wa Ugonjwa wa UVIKO-19 na Waliopata Chanjo
Ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika Clubhouse leo Septemba 2, 2021 kuanzia Saa 11:30 jioni hadi saa...
Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swala hili la chanjo.
Mzee Makamba anasema baadhi ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.
Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu...
Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?
Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi...
Askofu Gwajima kwanza usife moyo kwa wewe kusimamishwa kuingia bungeni, binafsi naamini Mungu wa mbinguni anataka kukutumia kwa kazi kubwa zaidi.
Ni wazi dunia haijapata jawabu ndio maana kuingia...
Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali...
Inawezekana ugumu wa kuelewa hurithiwa. Coverage ya chanjo ya gonjwa la Covid Uingereza ni zaidi ya 70% . Angalia viwanjani kwenye premiere league England ni full. Watu hawavai barakoa tena...
Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.
Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda...
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.
Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake...
Nakumbuka mwaka 2020 baadhi ya wanunge wa CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe walipojitenga kuzuia maambukizi ya virusi vya UVIKO-19.
Ndugai pamoja na wabunge wenzake wa CCM waliwakebehi kwa...
Akihubiri kanisani kwake siku ya Jumapili askofu Gwajima alisema leo Jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa washiriki ni...
Wote ni mashuhuda kwa jinsi serikali ilivyojipambanua kukabiliana na janga la corona, na hii imepelekea wengi kupongeza hatua ambazo serikali imepanga/ilipanga kuzichukua.
Serikali imeweka mkazo...
Na Abubakari Akida, MOHA
Serikali imewataka abiria wanaosafiri mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya UVIKO -19 huku wakiaswa kupaza sauti zao pindi...
Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"...
Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana...
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?
Kwanza napinga uzalishaji wa...
Amesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini.
Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani?
Inachukua muda...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya COVID19. Asema ni muhimu kuchanja kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa...
Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine.
Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu...
PICHA: Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi
Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi ameagiza mapadri wote wa jimbo hilo kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.