Taarifa ya Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo juu ya Umuhimu wa Chanjo katika Mapambano dhidi ya Covid 19
Tangu dunia ilipokumbwa na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid19...
TAASISI ya Tanzania Mzalendo Foundation yenye Makao Makuu yake wilayani Kahama mkoani Shinyanga imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa busara wa kuruhusu watanzania kupatiwa...
1. Rais wa awamu ya 5 Hayati JPM mpaka umauti unamkumba hakubadilisha msimamo wa serikali yake kuhusu chanjo ya UVIKO 19. Alisema wazi kila mahala alipoenda kwamba huu ugonjwa ni hofu inayoenezwa...
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha.
Pia ameongelea kauli ya Magufuli...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ameviagiza vyombo vya usalama kuhakikisha daladala zinabeba abiria level seat na kwamba wanaoruhusiwa kusimama ni wanafunzi wasiozidi watano.
Wanafunzi...
NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19
Na: Shujaa
Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na...
Haya yote yanaibuka kwa sababu anaeleza anachokiamini, na ambacho dunia nzima inakijua juu ya hiki mnachokiita chanjo? Hivi ni kweli ninyi mnataka kuniambia hamjasoma utata uliopo kwenye hizi...
samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90...
Kwanza niwashukuru kwamchango wenu mkubwa katika awamu iliyopita katika kutokomeza kabisa Corona, Ilifika mahali Corona ilikosa kiki Tanzania, mpaka wazungu wakaanza kuja kushangaa ni mbinu gani...
Miongozo na kauli zinazotolewa na serikali na viongozi wake kuhusu kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima inaonekana limelenga kuwazuia wapinzani kukusanyika lakini wao wenyewe wanaendelea na...
“Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao...
Kesho askofu wa kanisa la ufufuo na uzima atawasha moto juu ya chanjo ya corona ambayo tayari imezinduliwa tarehe 29.07.2021 na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimia SAMIA SULUHU...
Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo.
Hiyo hali...
Mbunge wa Kawe mh Askofu Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na...
Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.
But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau...
Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na...
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora...
Mwaka jana 2020 tuliona Corona ilivyowasumbua marais wengi duniani kisiasa. Championi wa Corona alikuwa Donald Trump's na Dr Magufuli.
Trump alipoteza Urais baada ya wapinzani kumzidi nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.