Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona.
Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika...
"Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali...
Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu
Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku
Vibaka...
1.
Kumekuwa na Hiyari ya LAZIMA kupokea chanjo ya UVIKO 19.
2.
Serikali imejitoa kudhamini raia wake katika kuwajibika endapo chanjo itamletea madhara aliyechanjwa
3.
Nguvu kubwa inatumika...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama
Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema Serikali imesitisha kuwepo kwa mikutano minne...
Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake.
Point...
MAJIBU YA MASWALI MBALIMBALI YALIYOTEKA MJADALA WA CHANJO YA CORONA KULETWA NCHINI
Toka Serikali kupitia kwa Kamati maalum aliyoiunda Rais Samia Suluhu Hassan itangaze uamuzi wa kuruhusu chanjo...
Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.
Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na...
Tangu Rais atangaze kuruhusu chanjo kuingia nchini limeibuka wimbi la mchanganyiko wa mitazamo juu ya ubora na uthabiti wa chanjo yenyewe
Watanzania wengi ni Kama hawajaridhika na yanayosemwa juu...
Hizi tuhuma zinaenezwa sana kupitia mitandao ya kijamii. Hii mitandao ya kijamii ina nguvu sana maana ndio source of information.
Wanaoeneza hizi tuhuma wameenda mbali na kudai kuda hata hawa...
Nimeona taarifa ya wizara kua chanjo itaanza kutolewa Agost 3
Nashauri Serikali yetu pendwa chini ya Rais samia, wahakikishe kwenye vituo vya chanjo kuna Chakula
Napendekeza Pilau na nyama...
Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.
Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu...
Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria...
Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile...
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo.
Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata...
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na...
Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia.
Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali...
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa...
Serikali yaamua chanjo dhidi ya Uviko 19 (Korona) itolewe nchi nzima. Utoaji wa Chanjo utaanza tarehe 03 Agosti, 2021..
Hivi hapa vituo 550 vitakavyotoa chanjo hiyo.
Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema mikoa itakayoonyesha kusuasua kwenye uchanjaji wa Corona basi watanyang'anywa hizo chanjo na kupelekewa mikoa iliyochangamka katika uchanjaji.
Chanzo: Star tv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.