Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo.
Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata...
Hakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU
Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii.
Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo...
Au sisi wengine ni washamba jamani?
---
Rais wa USA, Joe Biden akichomwa chanjo
===
Wizara ya Afya watoa ufafanuzi kuhusu hoja hii, soma hapa chini:
-...
Habari za jioni wanaJF!
Mimi ni muumini wa kumsikiliza kiongozi katika mapambano yoyote.
Upo muda wa taharuki,kutoaminiana, kuchallange, kujadili na hatimaye kuchukua upande na uelekeo.
Mwaka...
Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update"
Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa...
Leo ni siku ya furaha kuwa chanjo ya Corona inazinduliwa. Hatimaye pana Nuru tena katika maisha yetu.
Baada ya uzinduzi huu na kutupa maelekezo ya wapi kila yeyote alipo anaweza kwenda kuchanjwa...
Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia...
Ndugu zangu,
Kwa walichoma chanjo ya Corona wanachoma sindano mbili ndani ya wiki tatu (3) na baada ya hapo unapata cheti ambacho kinakuwa halali ndani ya miezi (6) kisha unatakiwa kuchanjwa tena...
Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali?
Msigwa: Baada...
Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
"Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa...
Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot.
Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema kauli ya hayati Dk John Magufuli kuhusu chanjo inapotoshwa kwani hakusema watu wasichanje ila kuwe na...
Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote.
Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya...
Nimetafakari tu maneno ya Gwajima ila nimeamua kukaa kimya kwani leo ni siku ambayo nimewakumbuka. Marine Hassan, Mama Lwakatare, Balozi Mahiga, Joseph Kambangwa, Benard Lowasa, Maalim Seif...
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Chanzo: ITV habari
Mungu ni...
Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata...
Hebu angalia alichosema msomi huyu kuhusu Chanjo ya Corona katika Awamu ya Magufuli na Awamu ya SAMIA.
Herufi A wakati wa MAGUFULI
Herufi B wakati wa SAMIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.