Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya...
Nyumba za ibada zikaguliwe mara kwa mara na kuhakikisha zinazingatia yafuatayo;
Ziweke vifaa vya kunawia mikono (maji safi tiririka na sabuni au Vitakasa mikonoSanitizers) na muumini atakaye...
Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa.
Aidha, Hospitali...
Serikali imeagiza kuanzia kesho kila anayetumia usafiri wa umma kuvaa barakoa huku stendi za mabasi zikitakiwa kuwa na miundombinu ya maji tiririka, sabuni na vipima joto.
Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy...
Tanzania sio kisiwa, kila tunachokifanya kwenye mapambano dhidi ya Covid 19 kinavuka mipaka na kuonekana duniani kote.
Ni wazi kuwa sasa tumekubaliana kuwa maambukizi ya COVID-19 yapo hata...
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, leo imesema Mazoezi na shughuli zote za michezo ni sehemu muhimu katika kuimarisha afya na kujikinga na magonjwa mbalimbali.
Hata hivyo, imesema shughuli hizi...
Maeneo ya Saluni na vinyozi ni lazima yakaguliwe mara kwa mara na maafisa afya wa Halmashauri na kuhakikisha mambo yafuatayo yanazingatiwa; -
i. Wamiliki wa Saluni na Vinyozi wanatakiwa kuwa na...
"Kama chanjo ya COVID ni suala la hiari, kwanini bila kuchanjwa chanjo siruhusiwi kutoka nje ya Afrika?"
Siku ikitokea idadi kubwa ya wanadamu Afrika wamechanjwa, itakuwa ni ngumu sana kwa mtu...
Baada ya kiini macho cha chanjo kupatikana ndani ya mwaka mmoja bila kuwepo kwa takwimu zisizotia shaka za majaribio kwenye wanyama kama panya na baadaye binadamu ambao lazima wapewe taarifa...
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti...
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema
“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini...
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?
Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!
Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal...
Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum ya Mkoa husika.
Matumizi ya Barakoa kwa wananchi wote kwenye sehemu zenye mikusanyiko (Mass Masking) ni hatua muhimu ya kukata mnyororo wa maambukizi katika jamii.
Aidha, matokeo ni makubwa sana pale ambapo...
Vituo vya Polisi vitatakiwa kufanya yafuatayo: -
1) Kuweka maeneo ya kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
2) Watumishi na watu wote wanaoingia katika vituo vya polisi wavae barakoa muda...
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha...
Ni jambo la kheri kuwa sera rasmi kuhusiana na Covid-19 hatimaye imebadilika uelekeo kwa nyuzi 180. Kwamba kama uelekeo ulikuwa mashariki, tumegeuka nyuma kuelekea magharibi.
Mwanga mpya wa...
Tanzania ni nchi ambayo ilipofikia kwa sasa ipo njia panda.
Macho ya maadui bado yameelekezwa kwetu kuona tunakwenda vipi baada ya kuondokewa na hayati Magufuli na viongozi wengine waandamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.