Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Hii habari inavunja moyo. Desemba?! Tutafika kweli huko? Mbona Zenji kwao imeshatua? Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alipohojiwa na kituo cha runinga cha Azam juzi, alisema...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19 Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matumizi ya chanjo hiyo...
16 Reactions
219 Replies
11K Views
Nimesikia baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali wakisema kuwa Watanzania wanasubiri chanjo ili nao waungane na dunia katika mapambano dhidi ya Corona, Leo ningependa kujua hao Watanzania...
5 Reactions
88 Replies
4K Views
Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu...
13 Reactions
119 Replies
8K Views
SERIKALI imeagiza zaidi ya aina nne za chanjo ya kujikinga na corona na zinatarajiwa kuanza kutumika ndani ya miezi mitatu au minne au kabla ya hapo. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: “Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na...
15 Reactions
218 Replies
13K Views
PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya...
9 Reactions
191 Replies
12K Views
Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa...
11 Reactions
106 Replies
12K Views
Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama...
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika. Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA...
24 Reactions
115 Replies
8K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania Anthony Mtaka ameagiza magari ya abiria yanayofanya na kuanzia safari zake mkoani hapo kutosimamisha abiria ikiwa ni hatua ya kupambana na corona. Mtaka...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye athibitisha mkoa wake kuwa na wagonjwa 12 wa CoVID-19, RC Andengenye amesema kuwa miongoni mwao 6 wanatibiwa hospitalini na wengine wamejitenga nyumbani...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nafikiri ni muda sahihi sasa wa Serikali kulazimisha usafiri wa umma kubeba level seat Ili si tu kukabiliana na COVID bali hata magonjwa mengine ikiwamo TB,Magonjwa yote ya kuambukiza kuanzia...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Anaandika Mh Zitto Kabwe: 69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine? 1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao. 2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya...
11 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom