Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kwa sasa tunaanza kutengeneza hofu ya Corona ambayo haikuwepo. Muda mrefu sasa hatujapata tena taarifa kuwa watu wanakufa kwa Corona.
Labda sababu Dr. Magufuli...
Ndugu Watanzania wenzangu nawasalimu,
Zipo nadharia nyingi kuhusu Ugojwa wa Corona, na kumekuwa na jitihada nyingi za ndani na nje ya nchi yetu za kupambana na virusi hivi vinavyotishia ustawi wa...
RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA.
Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka...
Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Tanzania tuna corona.
Nchi hii bwana watu wanaotutangazia kwamba tuchukue tahadhari ndio haohao unawakuta baa wanakunywa pombe na kukumbatia mpaka...
Nadhani sasa hatua zinazochukuliwa na Serikali dhidi ya Corona mnazisikia. Lakini katika awamu ilipita hali ilikuwa tofauti kabisa, Serikali ilitelekeza jukuma la kulinda raia wake. Licha ya...
Ni wazi kwa sasa Tanzania imeungana na nchi nyingine katika kufata taratibu zinazoitwa za kuzuia maambukizi ya mlipuko wa corona wimbi la tatu katika jamii.
Imekua ni week iliyoanza kwa tahadhari...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu
Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao...
Magufuli aliliona hili mapema
========
Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19
Tanzania has recorded an eight-year high coffee export this season thanks to lockdown which...
Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya...
Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata...
Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.
Rais...
Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020...
Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali...
Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza...
Tanzania inatarajia kuanza kupokea shehena ya kwanza ya chanjo ya korona mwanzoni mwa mwezi Disemba mwaka huu iwapo mipango itakwenda kama ilivyopangwa.
Taarifa ambazo Moonlight imezipata kutoka...
Bara la Afrika tumepigwa tena na mabepari! Viumbe wenye mbinu na mbwembwe nyingi. Viumbe wasioogopa kupoteza wa kwao wanapokuwa na Jambo lao serious
Walipoitambulisha walianza marumbano wao kwa...
Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi...
Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo.
Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha...
Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tume hiyo ilikuja na...
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.