Bunge la Ulaya na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano ya kutoa passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) itayoruhusu Mtu kusafiri katika Nchi 27 za Umoja wa Ulaya ikionesha...
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo.
Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.
Wanalazimisha kushawishi mamlaka...
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali...
Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa vya haraka vya kupimia COVID 19 aina ya Rapid Test, vyenye thamani ya shilingi Milion 250 za Kitanzania.
Makamu wa kwanza wa Rais wa...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara...
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za...
Full article here
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Tuesday, 20 April 2021 11:24
Written by Sonia Elijah...
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.
Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo...
Amani iwe nawe Mama yetu!
Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi.
Leo badala ya kukushauri, napenda sana...
Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya, China, USA, CANADA, SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida. Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.
Wananchi wao wamepata chanjo na sasa...
Tanzania's coronavirus response is getting serious, two months after the death of the country's Covid-denying president.
Before he died in mid-March, former leader John Magafuli repeatedly...
Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa.
Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika...
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli.
Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo...
Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
https://www.bbc.com/news/world-asia-56919924
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi...
TRAVEL ADVISORY NO. 7 OF 4TH MAY, 2021
The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global...
Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini.
Na tunajua kuwa...
Mama Samia amesema hawezi kupandisha mishahara kutokana uchumi kuyumba kutokana na ugonjwa wa Corona.
Tangu mwaka jana serikali ambayo yeye alikuwa Makamu wa Rais ilituaminisha kuwa Tanzania...
Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona...
Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi.
Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.