Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo kila mtu avae barakoa kwenye mikusanyiko, hivyo watu wachukue...
Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari.
Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu...
Kwenu marais wetu Wastaafu, Mwinyi, Mkapa na rais Kikwete.
Kwa heshima na taadhima inafikirisha kuwaandikia waraka huu baada ya kuwa kwa dhati kabisa, njia nyingi zimejaribiwa kushauri, kuhimiza...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa...
Salaamu Watanzania!
Duniani kote, habari kuu ni Wimbi la tatu la Corona, habari hizi zinaendana na mpango wa chanjo, mpango ambao unatumia matrioni ya fedha kufanikisha hili.
Tanzania nayo...
UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19.
Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia...
Habari wadau.
Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.
Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka...
Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda...
Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia...
Kuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi ya Magufuli hakuingiliki tena.
Hata hivyo inashangaza kwanini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria.
Kama ilivyo kwa barakoa...
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe...
IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta...
Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo...
1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo...
“Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa"
Rais Samia Suluhu Hassan wakati...
Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead...
Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi...
Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19.
Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.