Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176. Idadi hiyo inafikisha Tanzania...
6 Reactions
85 Replies
9K Views
Ninaandika haya nikiwa binafsi naugulia moyoni kutokana na tukio lisilo la kiungwana la vyombo vya serikali Mwanza na yatokanayo. Kutokana na hilo hapo juu inamfanya mtu awaye yote kughairi mambo...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano...
9 Reactions
92 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kutokana na kuwepo kwa wimbi la tatu la ugonjwa wa corona amesitisha shughuli zote za misongamano isiyo ya lazima kuanzia leo Julai23, 2021...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kufuatia tangazo la serikali kwamba sasa hivi ni marufuku kuwa na mikusanyiko isiyo ya lazima ili kuepuka kuenea kwa kirusi cha corona,nimepata swali kwa wataalamu hawa waliobobea; Je, kirusi...
5 Reactions
14 Replies
967 Views
Habari wanajamvi, Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nauliza tu corona haichagui msongamano uwe lazima au usio wa lazima. Tarehe 25/7/2021 huko Kigoma kuna mechi kubwa sana baina ya vilabu vikubwa nchini. Mechi hiyo huenda ikashuhudiwa na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Amani iwe Nanyi, Nikienda Moja kwa Moja kwenye details zenye ku backup Heading Pale juu. Tumeona Kataza la Mikusanyiko isiyo ya Lazima likitolewa na Wizara ya Afya leo. Ni dhahiri Hii...
2 Reactions
1 Replies
656 Views
Tanzania ni yetu sote hebu tuutangulize utanzania na Mungu mbele. Tunapofikiria kuzuia maambukizi ya Covid 19 kwa kuzuia mikutano ya kisiasa tufikirie pia kuzuia maambukizi kwenye viwanja vya...
3 Reactions
9 Replies
920 Views
Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe...
37 Reactions
285 Replies
16K Views
Ndugu zangu, Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu. Kwa upande...
20 Reactions
114 Replies
10K Views
Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine...
23 Reactions
242 Replies
14K Views
Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu)...
18 Reactions
243 Replies
11K Views
Chadema wamesema Kongamano la katiba siyo miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji kuombewa kibali kwa mujibu wa sheria Chadema wamesema watachukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika kongamano la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ugonjwa wa Korona uliibuka ktk serikali ya awamu ya tano na katika jitihada za kupambana nao , ikajengeka imani kuwa ni ugonjwa uliotengezwa katika maabara kwa dhumuni maalum hususani katika nchi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu. Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi. Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom