Wanabodi.
Wizara ya Afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli.
Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona...
6 April 2021
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaunda kamati ya kufuatilia gonjwa la Covid-19 na kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha chanjo bora na salama...
Wasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli...
Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu...
Jana tarehe 7.4. 2021, Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na...
Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani.
Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika...
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.
My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi...
Mabibi na mabwana ujinga si tusi bali ni hali halisi ya kuwa na uelewa mdogo au kutokuwa na uelewa kabisa kuhusu jambo fulani.
Hayupo binadamu mmoja asiyekuwa na ujinga katika mambo yote.
Kwamba...
TAARIFA KWA UMMA
HALI YA MAAMBUKIZI YA COVID- 19 NCHINI TANZANIA NA HATUA ZA KUCHUKUA
Ndugu wanahabari!
Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo CUF- Chama Cha Wananchi...
Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki.
Hii inafuatia...
Mabibi na mabwana na hasa mlio waungwana. Ufuatao ni upotoshaji wa wazi. Tuukatae upotoshaji huu tunapoendelea kuchukua tahadhari:
1. Taarifa sahihi kuhusiana na ugonjwa huu zinaleta taharuki...
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua.
Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni...
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa...
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka...
Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia...
Leo Serikali imetoa waraka mrefu unaoelezea namna Watanzania wanavyotakiwa kupambana na tatizo la Covid 19. Kiufupi mwongozo huo wa Wizara ya Afya, unaoelezea zaidi mambo yanayotakiwa kufanywa ili...
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu...
Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.