Serikali imezungumzia tishio la Serikali ya Marekani la kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na mgogoro wa kisiasa Zanzibar na kukamatwa kwa maofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za...
Vitendo vya rushwa vimeendelea kuligharimu taifa baada ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) kuzuia misaada yake kwa Tanzania yenye thamani ya dola za Marekani milioni 472.8 (Sh. trilioni...
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka...
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa...
Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia.
CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa...
Chaguzi za 1995, 2000 na 2005 Machawa yalikuwa bado hayajaasisiwa na alitegemewa zaidi Captain John Komba na TOT kiukweli tulikuwa tunashinda kiwepesi na KURA tulihesabu hadharani bila hofu...
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama...
Sio mama Kizimkazi tu hata Nyerere aliijenga sana Butiama.
Hayati Magufuli allijenga sana Chato.
Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata Urais atajenga sana kwao
Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!.
Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza...
Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa...
Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa.
Vipi miezi Kadhaa...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini...
"Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana...
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo...
Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi.
Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni.
Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa...
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suhulu Hassan amepeleka zaidi ya Bilioni 2 katika miradi ya maendeleo Wilaya ya Nachingwea katika mwaka wa fedha wa 2020/2025 ambayo umesaidia...