Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini.
Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na...
Kamanada anatakiwa kuwa jasiri
---
Freeman mbowe akiomba hasira za vijana wa kenya iwafikie Watanzania
Akiwa kwenye mkutano huo wa kisaisa wa CHADEMA Mbowe amesema:
“angalia wakenya, watoto wana...
Biashara yoyote inafanywa kutafuta faida. Na mnaofanya hizi sinema za kubebesha watoto mabango ya Samia mnatafuta kuonekana kwake kwamba mnampigania ili awateue.
Lakini watoto hawa Malaika wa...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA.
Wengi wao wanao msema...
Hasa kwenye nafasi ya Urais..
wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact...
Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AGAWA MASHUKA NA NETI ZAHANATI YA KATUNDA, WILAYA YA UYUI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Tarehe 09/07/2024 nimefanya mkutano wa hadhara...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama hicho kanda ya Kaskazini inayoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Ndugu Freeman Mbowe imekutana na...
Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dkt. Slaa...
Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana...
Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote.
Ametoa pole kwa wananchi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amosi Makalla amemshauri aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa...
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la...
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya...
Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa!
Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini...
Habari wana JF
Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums
Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa...
Tulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla akiwa kwenye mkutano wa hadhara Segerea amesema kuwa kuna vyama vinaongozwa kwa misingi ya kikabila na kikanda
Chama cha...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.
My Take
Naunga mkono hoja, upumbavu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.